Mtumie SMS saa 12 asubuh kama anafanya kaz bas ndo unakua umemuamsha ajiandae kisses usisahau, mtumie 15,000 nauli ya uber impeleke kazin
Mwambie unampenda kuliko chet cha form four
Mchana mtumie 20,000 ya lunch then mwambie na umsisitize akale kisses usisahau mwambie ye ndo mmlik halali wa tgo pesa yako
Saa kumi jion check her, with sweet words kama n jumatatu anza kumuuliza assugest weekend umpeleke hotel gan akchagua ya kizembe we komaa utampeleka Serena aka swim tu yaan kisha kisses then tell her she own daresalama




...(utajua utakapotuweka)
Usiku akitaka kulala muimbie nyimbo za kihind ad apate usingizi
Fanya siku tatu tu mfululizo
I swear atasahau ata jina la peterson..