Ni kiongozi gani wa chadema aliyetoa ombi hili, ni lini na wapi, wewe uliyeanzisha thread ni nani kwenye cdm na nikwanini asianzishe thread ya maombi kiongozi wa chadema?endapo tutachanga Hela zitafanyia nini?
Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika
Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...
Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..
Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..
Magwand.a have failed to wisely spent their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.
Magwand.a have failed to wisely spent their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.
Mkuu wazo la kuchangia harakati za ukombozi wa nchi yetu ni muhimu sana ingawa kuna watu wanabeza na kudhihaki. Hata hivyo ningeomba tupatiwe muongozi wa jinsi gani sisi tunaoishi ughaibuni tunaweza kutoa au kuwasilisha michango yetu.CHADEMA inapenda kukushirisha,wewe mwananchi,mpenda maendeleo,mwanaharakati,na yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania.Mchango wako ni wa maana kubwa sana,katika ukombozi wa Taifa.Tafadhali changia CHADEMA
changia Haki
Changia mabadiliko.
MPESA
... ... 0757 755 333
0763 744 334
0763 766 333
0758 003 509
AIRTEL PESA
0684 424 229
0684 424 144
0684 425 222
TIGO PESA
0655 788 333
0718 611 168
0718 611 126
Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.
Mungu akubariki sana
nimekuelewa vizuri sana na ninaimani swali langu na na jibu lako litahamasisha wengi, NITATOA MCHANGO WANGU KWA MOYO 1 NA NITAWAHAMASISHA WENGIMwanzisha thread ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha, na pia ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Arusha na Diwani wa kata ya Levolosi Arusha. Hivyo usitie shaka Angela. Kutoa ni moyo wala siyo utajiri. Angela unafahamika sana jukwaani, michango yako inafahamika sana na ni ya msingi katika harakati za ukombozi wa fikra kwa watanzania ya watu wastaarabu. Wenzetu CCM wanatumia pesa za mafisadi na kodi zetu kufanya kampeni. CHADEMA wanahitaji mchango wako wa hali na mali, siyo lazima uchangie pesa nyingi, bali kile kiasi unachoona umeguswa moyoni mwako hata kama ni sh 200 unaweza kuchangia, ili kufanikisha CHADEMA kufika sehemu zote katika vijiti 86 vya Arumeru. Ukichangia chadema utakuwa umechangia ukombozi wa Tanzania. Angela Msoffe
Ni kiongozi gani wa chadema aliyetoa ombi hili, ni lini na wapi, wewe uliyeanzisha thread ni nani kwenye cdm na nikwanini asianzishe thread ya maombi kiongozi wa chadema?endapo tutachanga Hela zitafanyia nini?
Angela Msofe,ombi limetolewa na Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,na mimi ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha mjini.Hela mtakazochangia pamoja na mambo mengine zitasaidia kampeni ya Arumeru,na ujenzi wa chama
Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika
Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...
Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..
Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..
upumbafu wako utakucost humu jf
I have already contributed the little I had in my MPESA balance. I am going to do it tommorrow and whenever. Tunatakiwa kuchangia vyama vya upinzani hasa CDM kwa kuwa kinaonyesha mwanga. CCM wanasubiri wagawiwe khanga, kofia na kupewa posho. Sisi wazalendo tunatakiwa kuchangia vyama vyetu badala ya kutegemea watugawie hela. Tutafanya hivo tena na tena mpaka kieleweke. Hata kama magamba wanajamba uharo wao hapa hatutawajali. Tutachangia.
hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini
hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini
nilikua nakuheshimu nikijua ni kiumbe mwenye akili kumbe hamnazo.Hela ya ruzuku haiwatoshi hadi mnaanza kuwakamua maskini? Jipangeni wazee msije mkajikuta mnachangiwa misaada ya fedha na Al-Shabaab.
hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini
Magwand.a have failed to wisely spend their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.
Hela ya ruzuku haiwatoshi hadi mnaanza kuwakamua maskini? Jipangeni wazee msije mkajikuta mnachangiwa misaada ya fedha na Al-Shabaab.