Changamoto za usafiri Mafia

Changamoto za usafiri Mafia

Wakati wangu nKwenda mafia wenye vichwa ngumu Kama sisi tulikuwa tushazoeaaa,mafia nshakwenda kwa jajazi from kisiju mpaka jibondo,nshatoka na boti yenye mashine mbili hp45 mpaka camp jibondo....
Hizo boti hapo nyamisati sijui mv kilondoni,mg jubini......etc,mv potwe hii ilikuwa inanasa sana kwenye kichangaaa baharini......
Mafia nilijuaa na mission 1 tu kuvua Mongol bahari na kuwauzia wachina wangu dar hapa...
Mwisho wa siku Huyu masolex kaja kututiaa NJAAA ......
 
karibu tena mafia mkuu....sis ndo tupo huku tunapambana
 
Mkuu huku kwenye biashara yangu niliumizwa sana na wale jamaa wa Mali asili hadi kuwa na msalaaaa......
Ila mafiaaa naijuaaa in n out nnsha hustle sanaaa.....
Najuaa fursa Ziko Sema ah changamoto Ziko nyinngi nlipoachana na jongooo bahari maana Huyu mkulu alipokuwa waziri wa uvuvi alileta shidaa sana mpaka huko...lakini nlikuwa na mpango wa kufanya mradi mkubwa wa pweza na kuwaleta hapa dar,kwa wingi maana huko wako wengi sana....
Alafu nilifanyaga kilimo cha mwani....Ila bei nayo ilikuwa chini sanaaaaa Sokoni
 
Mkuu huku kwenye biashara yangu niliumizwa sana na wale jamaa wa Mali asili hadi kuwa na msalaaaa......
Ila mafiaaa naijuaaa in n out nnsha hustle sanaaa.....
Najuaa fursa Ziko Sema ah changamoto Ziko nyinngi nlipoachana na jongooo bahari maana Huyu mkulu alipokuwa waziri wa uvuvi alileta shidaa sana mpaka huko...lakini nlikuwa na mpango wa kufanya mradi mkubwa wa pweza na kuwaleta hapa dar,kwa wingi maana huko wako wengi sana....
Alafu nilifanyaga kimono cha mwani....Ila bei nayo ilikuwa chini sanaaaaa Sokoni
pole sana mkuu.....but mjasiliamali siku zote ni mtu wa ku take risk....jipange upya njoo naamini fulsa ulizokuwa unapambana nazo bado zipo huku.....karibu sana mkuu
 
Huko nna mchakato mkubwa sana wa kukusanya pweza .....
Mimi nimekaaa sana jibondo kisiwani pale kuwekwa kambi,pale nmekusanya jongo,na mapezi ya papa.......weupe na weusi,
Kuna sehemu moja ukiwa uko ktk mto rufiji unakaribiaaaa kuingiaaa baharini( ----) Kuna probes hatari sana wengi....tena wale jumboo
 
Ila inshallah nkija Rudi huko ntakujaa fata pwezaaa
 
Don255 mrangi Titans

Mme share experience zenu kiroho safi,napenda sana adventure kama hizo ingawa ruti ya huko mafia nahisi ni hatare kama jina lake,
Kweli nchi kubwa hii... nashangaa vijana wanavyong'ang'ania dar es salaam tu
 
Huko nna mchakato mkubwa sana wa kukusanya pweza .....
Mimi nimekaaa sana jibondo kisiwani pale kuwekwa kambi,pale nmekusanya jongo,na mapezi ya papa.......weupe na weusi,
Kuna sehemu moja ukiwa uko ktk mto rufiji unakaribiaaaa kuingiaaa baharini( ----) Kuna probes hatari sana wengi....tena wale jumboo
kweli mkuu huku Mafia kama kweli unaamua kuja kuwekeza kwenye uvuvi kuna faida sana maana wavuvi wengi wa huku wanatumia dhana local sana......vimitumbwi sasa kama unakuwa na boti ya kisasa unapiga pesa nzur sana
 
Changamoto bado Ziko nyinngi tu bado vibali na aina ya watu maana huko,Kuna wale jamaa zetu wakojani kufanya nao kazi shida kidogo
 
Mkuu hebu share kidogo wakojani wanashida gani??
 
Habari zenu wana jamvi.....kumekuwa na changamoto za usafir wa majini kufika kisiwani.mafia...inakulazimu.kutumia usafir wa basi paka NYAMISATI..hapo itakulazimu kulala kwenye mazingira magumu ya maeneo.hayo.paka.saa kumi usiku ndipo safari ya MAFIA inaanza kwa kutumia mabot ya mbao....masaa manne baharini kukiwa na misukosuko ya mawimbi na upepo....WADAU tunaomba mtusaidie na sisi ni WATANZANIA
b9fd1c738cf4cc9c5dca4ee1f928f121.jpg

Usalama upo kweli mbona chombo kinavuja!?
 
Back
Top Bottom