King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,898
- 97,883
Sio Mkuu wa wilaya ya pangani huyo?Kuna mwanamke alimtafutia mme wake mke wa pili(yaani alijitafutia mke mwenza) na alikuwa pini zaidi yake, pia akampa mme wake pesa ili akatoe mahari. Ni mindset ya mtu tu.