Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

Anyways, ukisikia MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI, means tunamalizana hapa hapa. Yaanii pepo yako au moto wako uko hapa hapa duniani.. yaanii tenaa, ni kwamba kuna watu wanaishi peponi na wengine motoni (zingatia ni hapa hapa duniani). Kwa kifupi, ile idea ya kusema ukifa sijui nini aah.. sio kweli. Wewe ni energy na energy can never be destroyed, but can be transformed from one form to another. Wewe ni wa hapa hapa na huna pa kwenda. Labda tuu ubadilike labda uwe katika namna nyingine (labda mbuzi).. aah.. nmechoka.
Aiseee imani hizi.
Sawa mkuu.
 
SIKU YA KWANZA KAZINI.

Siku niliyoripoti pale ndo siku ile ile nikapata mteja wa kwanza. Nilifika saa tisa, tukakaa kidogo saa kumi tukaoga na kuchange (nikapewa nguo ya kuvaa). Sasa wakati niko chumbani navaa akaja mteja wakaniharakisha ili nitoke niende pale sebuleni kwenye kuchaguliwa nikaenda kiaibu aibu hivyo hivyo, bahati nzuri nikakuta alishamchagua mdada mmoja pale.. lakini kuna namna flani aliniangalia nikajua jamaa kanielewa. Nikarudi chumbani, ghafla akaja dada aliyepointiwa na mteja akasema mteja anataka four hands so, kanichagua na mimi. (Four hands means wahudumu wawili). Basi tukaenda chumba cha huduma kazi ikaanza. Mind you tumevaa vinguo kama hatujavaa tuu, lakini mwenzangu akaitoa ile nguo yake akajifunga mtandio(alikuja nao chumba cha huduma) nikamuuliza ina maana tunatoa nguo?! Akasema kama huoni aibu toa tuu hamna shida duh! Nikawaza pale nkamwambia me nafanya hivi hivi tuu haina haja. Akasema fresh, kazi ikaanza.

Tumefanya kwa muda unaotakiwa, then nikamuona mdada ananong'onezana na mteja, sikuwazingatia wala. (Mimi nilikuwa nafanya miguuni mwenzangu upande wa juu) basi mdada akaja kwangu akasema (kaninong'oneza) mteja amekuchagua. Nikaulizia anataka nini? Akasema s3x. Weee.. nkamwambia mwambie me mgeni akuchague wewe mzoefu hapa. Mdada kacheka, sijui wakaongea nini na jamaa mdada akatoka nje. Jamaa mteja akaniuliza why umenikataa, ujue wewe ndo nimekuelewa tofauti na mwenzako.. nkamwambia sawa, ila wakati mwingine. Akasema why isiwe leo? Maelezo yalikuwa mengi ila nikasema sipo vizuri(MP) akasema aah.. sawa. Treatment ilikuwa imeisha, me nikatoka room nikamwambia akaoge.

Nikarudi chumba chetu kile, boss akauliza AMETAKA?! Nikamwambia ndiyo, ila nimemgomea. Heeh! Kumbe ni kosa bwana Boss akanivuta pembeni, akauliza kwa mshangao eti kwa nini? Nikashangaa kwanza yani anauliza kama vile ni sehemu ya huduma sijaitoa nyiee.. nikasema tuu nimemwambia siku nyingine.. Boss anazidi kushangaa eti sasa siku nyingine vipi na mteja kaja leo? Kwa hiyo umemuacha anafanya nini? Nikasema ameenda kuoga. Eti umemuacha anaoga mwenyewe? Basi nenda mkaoge naye Nikasema sitaweza. Kauliza usiweze kivipi kwani uko kwenye siku zako? Ikabidi nipite na jibu hilo hilo, ndiyo. Eti aah, kama hivyo sawa. Lakini mteja umemuambia vizuri akakuelewa, nikajibu tuu ndiyo. Akamwambia mwenzangu tuliyehudumia naye akaoge na mteja. Basi, ikawa fresh.

{Wakati nimeripoti ofisini pale, maelekezo niliyopewa ni kwamba mteja akitaka happy ending, ni MAKUBALIANO YETU so pesa ile itakuwa yangu. Zingatia neno MAKUBALIANO. Me nilivyoelewa, ni kwamba naweza kukubali au kukataa. Lakini kumbe haitakiwi kukataa aisee.. Na pia kuhusu mavazi ya kuanzia jioni, walisema unavaa nguo yako YOYOTE UNAYOPENDA.. daah.. kumbe sio yoyote bhn, maana nilivyooga nikavaa zangu t-shirt yangu na suruali yangu ya jeans heh! Kumbe haitakiwi ndo akaulizia mavazi yangu, ila hakuna nguo waliyoikubali ndo wakanipa nguo ya chaguo lao }

Nikaenda kutulia sebuleni pale, huku nawaza mbona kazi ishaanza kuwa ngumu, hapo sina hata 5hrs kazini duh! Nikaona kazini kwangu kuna kazi aise..

MUNGU akasaidia kwa siku ile hakukuwa na mteja zaidi, basi siku ile ikaisha hivyo.
Aisee hii Dar kumbe ina mambo mengi
 
Hiyo kazi uliyochaguwa NI kazi ya mahotelini ndio wateja wanahitaji kweli huduma hiyo.

Lakini mtaani madomo zege wote na wasiopenda kupigwa lalenda na mademu na kataa ndoa wote huko ndio wanapoponea na siku hizi kuna kitu kinaitwa Escorts.

Kwa kifupi biashara ya ngono wameiupdate imekuja Kwa style nyingine.

Watu wa fani za entertainment and hospitality Kwa kwakweli mmechaguwa wrong choice Kwa mazingira ya Tanzania
 
Sio na kahaba tuu.. na yeyote. Yani tangu umeanzaga mapenzi, ujue tuu una soul tie kila uliyewahi kusex naye. Cha muhimu ni kuziondoa kila unavyomaliza.
Zamani nilikuwa na Imani kama hii lakini Aina ukweli wa 100%

Kuna Jamaa yangu anaishi USA, akija Bongo likizo Kwa siku anaweza kubadili hata wanawake watatu Kwa mwezi mzima Yani ni daily.

Lakini huyu mwana mambo yake yanazidi kumnyookea tu, Yuko vizuri Sana.

Kwahiyo mambo ya nuksi na mikosi yapo Bongo tunarogana kila siku halafu tunawasingizia tuliosex nao.
 
Amani iwe nanyi.

Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu.

Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments, body scrub) nimejifunza na kufanya hii kazi Zanzibar. Kule tumeifanya hii kazi in a very professional way, kiasi kwamba uko comfortable nayo.
  • Kwanza staff wote tuna uniform tumeshonewa na ofisi (sio nguo ya kubana wala kukuacha wazi mwili wako na unakuwa comfortable kufanya kazi ukiwa umeivaa).
  • Pili kuna muda wa kwenda kazini na kutoka, 8hrs of working + mapumziko ya siku moja kwa wiki.
  • Tatu, hufanyi kazi nje na treatments (mf. Kufua labda shuka na towels zilizotumika during treatment)
  • Nne, wanaangalia ufanyaji wako wa kazi aise, sio muonekano.
Nadhani umeona ni jinsi gani mazingira yalikuwa ni mazuri kwa mfanyakazi.

Okay, kwa wakazi wa Zanzibar nadhani watakuwa wanajua kuna kipindi ni low season so hakuna kazi kiviile. Nikasema nikapoe DSM kwanza. Katika kupitia mtandaoni nikaona spa moja DSM inataka mfanya massage, nikawachek kwamba nahitaji. Swali la kwanza TUMA PICHA nikatuma.

Kisha ndo wakauliza kama najua kufanya au nikajifunze (kwenye tangazo walisema kama unapenda na hujui tunakufundisha) nikasema najua. Wakasema njoo uanze kazi. Nikaulizia malipo yakoje wakasema ni kwa commission (nikaona duh! Ila fresh) wakasema inatakiwa uishi huku huku. Kipengele tena, ndo nikapitia page yao IG nikaona kumbe huduma ni 24/7 (nkasema tuu fresh). Kanipa address nikafika (siku ile ile just imagine ).

Kwanza nikapewa t-shirt ya ofisi ambapo ni sare tunayotakiwa kuivaa kuanzia asubuhi mpaka saa kumi jioni. Chini unavaa black tyt (sikuwa nayo nikawa navaa black jeans).

Kuanzia hiyo saa kumi sasa mnaoga mnachange mavazi (hii ilikuwa ngumu kwangu coz sikuwa na nguo type zile). Nkapewa nguo moja nkaivaa kwa siku ile (dah! ni huzuni).

Shida moja kubwa sana ni ile mteja anawachagua kama mandazi dah! Why this? Si unataka massage? Why uchague chague aah.. hii kazi nimeifanya kwa wiki moja(siku saba kamili) tu huku aisee siyawezi. Nitawaeleza niliyokutana nayo huko ndani.
SPA za Dar ni lawful danguroz.

Nimepooza sana stress zangu za kiunoni kwenye vyumba vile. nimeacha siku hizi maana Mungu kaniokoa tangu anihubirie Depal 😂
 
Zamani nilikuwa na Imani kama hii lakini Aina ukweli wa 100%

Kuna Jamaa yangu anaishi USA, akija Bongo likizo Kwa siku anaweza kubadili hata wanawake watatu Kwa mwezi mzima Yani ni daily.

Lakini huyu mwana mambo yake yanazidi kumnyookea tu, Yuko vizuri Sana.

Kwahiyo mambo ya nuksi na mikosi yapo Bongo tunarogana kila siku halafu tunawasingizia tuliosex nao.
Ndo ivo, yaani mambo mabaya ndo yanaungana ila kama ana nyota nzuri haiji kwako ila mapepo na mizimu tu.
 
Hata bahati nzuri zinakuwaga transferred pia.. hujawahi kuona mtu akiwa na mahusiano na flani mambo yake yanamnyookea sana, wakishaachana mambo yanakuwa hovyo hovyo... in short haya mambo yapo
 
Basi msibase kwenye pande hasi pekee, na huku kwema mpagusie.

We chapana na yeyote ukiona mambi yanatiki kwa huyu mkamatie.
 
Pole kwa changamoto kwanini usijikite massage za wagonjwa walopooza zinalipa na haukutani na maswahibu.

Hiyo Spa bila shaka ipo sinza Doto Magari na Giggy Money walikuwa wanai promote,nikaona video hio 4 hands na bango wanafanya kazi 24/7 wahudumu wanavaa t shirt nyeusi badala ya nguo sare kama nyeupe

Nikashangaa wanafanya massage wamevaa sexy lingerie nikaona hapa kuna kazi juu ya kazi.

Huku kwetu kazi hio ngumu tena usithubutu kuwafata home au hotel utabakwa wanaume wabongo wengi wa hovyo 😁

Nilinusulika kubakwa na mtumishi wa Hospital Temeke Hospital miaka hio 2014/2015 naumwa muda kikohozi nikawa nakohoa damu nilimaliza dawa zote ikabidi niende hospital na kaka yangu ni Dr akasema nikapige X ray nikaenda na Bi mkubwa ilikuwa siku ya mifupa ila sababu ya connection nikaenda si dada wa Dr nikaaka na bi mkubwa na wengine walikuwa wa 3 tukaingia mie nikiwa wa 1 ajab akaniambia wewe subiri nikasema kwakua leo mifupa kifua nafanyiwa tu favor wacha nitulie akawamaliza wote akaniambia ingia Ile nimeingia akaniambia vua nguo ya juu mpaka bra aisee niliganda akasema nitapigaje mapafu bila wewe kuvua basi nikajisemea mficha uchi hazai nikavua akaniambia nyoosha mikono kumbatia machine nikatii akawa anajifanya maziwa yamekaa vibaya haoni anajifanya kuweka sawa aisee nilikasirika nikasema poa tu kama kuzaa huwezi mkataza Dr kukupima njia basi akanipima baada ya kumaliza sijatoka pale alikuja akanivamia akaniambia yaani wewe sikuachi umenipagawisha toka nakuona ukitembea makalio yako shape ipo jamani jamaa alikuwa kama ana shetani kamvaa aisee ilikuwa kazi kujinasua ikabidi nimwambie Mama kakaa nje navyochelewa ataingia sio sehemu sahihi unaonaje tukafanyie nje na hapa mwenyewe nimekuelewa chukua namba ukimaliza ni check nikalipa likaipiga likaona sio namba za gari likasema kweli likaniambia ngoja na majibu yako nikutolee sasa hivi mpenzi wangu pumbavu nishakuwa mpenzi 🤣majibu ulikuwa unafata next day basi likanitolea nikapeleka Kwa kaka nikaonekana na chronic bronchitis nikaandikiwa sindano za power safe siku 5 sikupata nafuu nikaongezewa zikawa 7 sikupona ikaja kujulikana Paka wetu akinisogelea ndio kifua chabana nakohoa Mama akanitemgenezea asali habbat souda kitunguu thomu manjano ya unga unga wa
mdalasini tangawizi asali na ndimu ikaniponesha in 3 days.hii ilinisaidia hata nilipo pata COVID

Toka hapo siamini mwanaume naonaga mihemko inawapelekesha Mungu amlaani mpare yule na ufupi wake na uwalaza.
 
Hata hvyo una upendo sana. Angekutana na chizi angemuunguzia huo ugali asingeamin. This is very f****n absurd.
 
Back
Top Bottom