mwanaume kumchukia mpenzi wake, kum block au kukata mawasiliano ni ishara ya :
1. Kutompenda, huenda mchizi hakupendi au hajisikii kuwa na wewe tena.
2. Kuchepuka au kupata mpenzi mpya,.. huenda jamaa kapata kwa kumliwaza hivyo naona we kama unampotezea muda tu na kumpa stress.
3. Kakutana na wife material aliyekuzidi sifa.
huenda jamaa yuko mawindoni anafukuzia kifaa kipya, hivyo anajikuta hawezi kukuacha ghafla wakati bado hajafanikiwa kupata huyo mpya, so kwako yupo mguu mmoj ndani mmoja nje.
4. Ndivyo alivyo. hii ni kwa wanaume ambao hawaendekezi mapenzi, au hawayapi thamani hasa anapokuwa na mambo mengine ya msingi ya kufanya.., simu za kubembelezana huwa zinakuwa kero mtu anaamua kuku block.
angalia ipi inaweza kuwa sahihi kwa huyo wako.