Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,825
- 95,676
Nilikugundua [emoji3][emoji3][emoji3], nikakwepa makusudi[emoji28][emoji28]Lucky
Kuna jibu nilikua natarajia unijibu ili nikuulize vizuri...
Bahat Mbaya umeniponyoka
Nilikugundua [emoji3][emoji3][emoji3], nikakwepa makusudi[emoji28][emoji28]Lucky
Kuna jibu nilikua natarajia unijibu ili nikuulize vizuri...
Bahat Mbaya umeniponyoka
Unajijua [emoji28]Nilikugundua [emoji3][emoji3][emoji3], nikakwepa makusudi
na binti alimwambia baba yakepia anaona heri aolewehana akili za shuleIla bora ameolewa maana angezubaa tu angeolewa mwingine
Karma .Kwa jinsi nilivyotafuna vibinti vya watu nikiangalia ka baby daughter kangu mama ake alikokuja kukatupa na kuniachia nacho ghetto naishi kutetemeka kuogopa na kutubu
Karma gani ? na nimetubu na kujutia kosa mungu wetu nimsamehefuKarma .
Imani yako imekuponya,Karma gani ? na nimetubu na kujutia kosa mungu wetu nimsamehefu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chai ya rangi na vitumbua vya kukatianaKwa inavyoonekana familia za pangu pakavu yaani chai ya rangi vitumbua vya kukatiana,huwa binti akipata mimba anatukanwa sana na mjukuu ajae kuitwa haramu.
Lakini familia bora mtoto akizaliwa anapewa jina la babu yake na binti anapewa nafasi ya pili kama chuo nk.
Kwaiyo unashauri ...watoto wakizaa nje ya ndoa..tufurahie na tuwape majina ya baba zake binti?...Kwa inavyoonekana familia za pangu pakavu yaani chai ya rangi vitumbua vya kukatiana,huwa binti akipata mimba anatukanwa sana na mjukuu ajae kuitwa haramu.
Lakini familia bora mtoto akizaliwa anapewa jina la babu yake na binti anapewa nafasi ya pili kama chuo nk.
Kwakweli.Lakini wanaume mngekuwa mnawaacha hawa watoto under 18 haya matatizo yangekuwepo?
Mngekuwa mnawafundisha vijana wenu shuleni kutokuendekeza ngono, au kujikinga endapo watashiriki, hizi mimba za hovyo zingekuwepo?
Pia vijana hao hao wanaotoa povu kwa dada zao ndo kwanza wanatongoza dada wa wengine. Hypocrites.
Mkuu unajua waswahili tuna maisha fulani ya ajabu sana ilipaswa wazaz wasiwabane sana binti zao kikubwa kuwaelimisha inatosha wao watajitunza wenyewe sasa kitendo cha kumbana sana binti ni mbaya anapopata mda basi hana cha kupoteza ni kutumia muda mujarabu kabisa mwisho wa siku mimbaHuu Uzi umenikumbusha mzee mmoja mtaani mfia dini hatari....alikuwa na neno lake binti yangu akizalia nyumbani nafukuza na atamtafute baba yake..[emoji23][emoji23] Mungu kamuonyesha binti yake kapata ujauzito mwaka Jana akiwa form2..mzee presha juu siku hizi yupo kimya.
trueKwa inavyoonekana familia za pangu pakavu yaani chai ya rangi vitumbua vya kukatiana,huwa binti akipata mimba anatukanwa sana na mjukuu ajae kuitwa haramu.
Lakini familia bora mtoto akizaliwa anapewa jina la babu yake na binti anapewa nafasi ya pili kama chuo nk.
ilikuaje mzee hadi akakutupia??vipi akue halafu ukute kuna jamaa mmoja anajisevia[emoji3][emoji3][emoji3] lazima umtoe ndukiKwa jinsi nilivyotafuna vibinti vya watu nikiangalia ka baby daughter kangu mama ake alikokuja kukatupa na kuniachia nacho ghetto naishi kutetemeka kuogopa na kutubu