Katabanduliwa umri uliokuwa unabandua mama yake [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jinsi nilivyotafuna vibinti vya watu nikiangalia ka baby daughter kangu mama ake alikokuja kukatupa na kuniachia nacho ghetto naishi kutetemeka kuogopa na kutubu
Mungu na yeye anakupima aone kama imani yako na toba ni za kweli , hivyo binti yako ataanza banduliwa mapeeema tu uamuzi utakao ufanya ndo msamaha wako [emoji23][emoji23][emoji23]Karma gani ? na nimetubu na kujutia kosa mungu wetu nimsamehefu
Mungu ataniepusha na hiloKatabanduliwa umri uliokuwa unabandua mama yake [emoji23][emoji23][emoji23]
malipo ni hapa hapaKwa jinsi nilivyotafuna vibinti vya watu nikiangalia ka baby daughter kangu mama ake alikokuja kukatupa na kuniachia nacho ghetto naishi kutetemeka kuogopa na kutubu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karma gani ? na nimetubu na kujutia kosa mungu wetu nimsamehefu
Duuh! Ila huyo jamaa kiuhalisia aliamua tu kuchokonoa hasira za mzee zilipo.kuna baba alimpeleka mwanaye boarding, ya girls tupu mtoto karudishwa ana mimba, akakaa nyumbani kajifungua baba akaona hapana akamrudisha shule nyingine binti karud na mimba ya jamaa yule yule na ni polisi akakaa nyumbani akalea mimba akajifungua baba akasema sasa atasoma day binti akapelekwa day nako jamaa akafanya yake baba akamtafta jamaa akamwambia hapa chagua moja uje uoe sasa au nilale na wewe mbele jamaa ameoa na binti wanalea watoto wao.
mzazi kaaa lea mwanao,kuwasukumiza huko boarding ni kuwafungulia dunia kua wanachotaka.
Wahuni tutampelekea moto Kama kawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namuwazia sana binti yangu, Mungu amuepushe na hii dunia dhalimu
Mbona unacheka bibie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
vzrNilishatubu
Dua la kuku hilo