Changamoto za malezi ya watoto wa kike

Changamoto za malezi ya watoto wa kike

Mkuu unajua waswahili tuna maisha fulani ya ajabu sana ilipaswa wazaz wasiwabane sana binti zao kikubwa kuwaelimisha inatosha wao watajitunza wenyewe sasa kitendo cha kumbana sana binti ni mbaya anapopata mda basi hana cha kupoteza ni kutumia muda mujarabu kabisa mwisho wa siku mimba
wazungu hawana noma binti analala na boyfriend wake nyumbani kwa baba ake.asubuhi baba ake anamuuliza did you enjoyed??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazungu noma sana sasa jaribu mswahili uone moto wake ila tisa kumi wazazi wakibongo wamezid unoko inabid wabadilike dunia imechange
 
waarabu ndo nomaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kajala alikimbia kwao akaenda kuishi kwa p funk baba ake kajala akamtia p funk ndani tena ukizingatia baba ake kajala alikuwa polisi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazungu noma sana sasa jaribu mswahili uone moto wake ila tisa kumi wazazi wakibongo wamezid unoko inabid wabadilike dunia imechange
True
 
Mzazi ukiwa mnoko wa kupitiliza lazima mtoto aharibike. Twende nao taratibu.. nashukuru hadi sasa hivi sijapata changamoto ya malezi. Akimaliza form six naacha kumchunga akapambane mwenyewe
Namu imagine mwanao yule uliyeenda kwenye graduation yake mwezi uliopita
 
Kwaiyo unashauri ...watoto wakizaa nje ya ndoa..tufurahie na tuwape majina ya baba zake binti?...
Maji yakimwagika yanapigiwa deki,ukimchukulia poa kwamba mtoto akiunyea mkono huukati hata kesi za kutupwa vichanga chooni zitapungua.
 
Mzazi ukiwa mnoko wa kupitiliza lazima mtoto aharibike. Twende nao taratibu.. nashukuru hadi sasa hivi sijapata changamoto ya malezi. Akimaliza form six naacha kumchunga akapambane mwenyewe
Au unikabidhi Mimi niendelee kumchunga
 
Back
Top Bottom