Changamoto za malezi ya watoto wa kike

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
4,274
2,921
Kuna mzee alikuwa mkali sana kwa binti yake now kazeeka anaumwa basi binti yake kawa malaya mtaa mzima.binti anamuongezea stress tu mzee wake

wenye watoto wa kike/wadogo za kike tupeni changamoto zake

kuna jamaa yangu shuleni ilikuwa ni ugomvi tu na watu wanaowatongoza dada zake.basi akawa anawapiga mawe vibaya mno

rafiki yangu mwingine mdogo wake alipewa mimba basi jamaa akamtukana sana jamaa aliyempa mimba mdogo wake eti ni msengeee

Kuna jamaa yangu mwingine alimbamba dada ake kasimamishwa barabarani akamfokea dada ake vibaya mno (jamaa ni mdogo kwa dada ake) badae dada ake akapewa mimba jamaa akamwaga mapovu vibaya mno ( sio mazuri lakini)

kuna diwani mmoja dereva wake alimgegeda mke wake.akamgegeda na mtoto wake wa kike yaani kuku na mayai yule diwani alivyojua akajiua

huwa najiuliza hivi wazazi wa wema sepetu,amber rutty,aunt ezekiel nandi gigi money hivi wanajisikiaje kuwaona mabinti zao wakiwa uchi mitandaoni? wenye watoto na wadogo za kike tupeni uzoefu
 
Mzazi ukiwa mnoko wa kupitiliza lazima mtoto aharibike. Twende nao taratibu.. nashukuru hadi sasa hivi sijapata changamoto ya malezi. Akimaliza form six naacha kumchunga akapambane mwenyewe

Kikubwa usisahau/usiache kumpa darasa mtoto ni mtoto tu ila kiukweli mtoto akishafikia hatua ya kuwa malaya/kujiuza inaumiza mno.
 
kuna baba alimpeleka mwanaye boarding, ya girls tupu mtoto karudishwa ana mimba, akakaa nyumbani kajifungua baba akaona hapana akamrudisha shule nyingine binti karud na mimba ya jamaa yule yule na ni polisi akakaa nyumbani akalea mimba akajifungua baba akasema sasa atasoma day binti akapelekwa day nako jamaa akafanya yake baba akamtafta jamaa akamwambia hapa chagua moja uje uoe sasa au nilale na wewe mbele jamaa ameoa na binti wanalea watoto wao.

mzazi kaaa lea mwanao,kuwasukumiza huko boarding ni kuwafungulia dunia kua wanachotaka.
 
Mara tatu aise huyo dada hakujifunza kwa mimba ya kwanza kuna watu ni wajinga sana.
 
Kikubwa usisahau/usiache kumpa darasa mtoto ni mtoto tu ila kiukweli mtoto akishafikia hatua ya kuwa malaya/kujiuza inaumiza mno.
Darasa nitaendelea kumpa kama kawaida. Kuwa Malaya/kujiuza mara nyingi umasikini unachangia. Hatakuwa masikini am sure..
 
Te
kuna baba alimpeleka mwanaye boarding, ya girls tupu mtoto karudishwa ana mimba, akakaa nyumbani kajifungua baba akaona hapana akamrudisha shule nyingine binti karud na mimba ya jamaa yule yule na ni polisi akakaa nyumbani akalea mimba akajifungua baba akasema sasa atasoma day binti akapelekwa day nako jamaa akafanya yake baba akamtafta jamaa akamwambia hapa chagua moja uje uoe sasa au nilale na wewe mbele jamaa ameoa na binti wanalea watoto wao.

mzazi kaaa lea mwanao,kuwasukumiza huko boarding ni kuwafungulia dunia kua wanachotaka.
Tena hiz shule za jinsia moja tu (hasa girls only) ndio uwa chanza cha kuwafundisha mabinti wengi usagaji na tabia za ajabu ajabu
 
Mzazi ukiwa mnoko wa kupitiliza lazima mtoto aharibike. Twende nao taratibu.. nashukuru hadi sasa hivi sijapata changamoto ya malezi. Akimaliza form six naacha kumchunga akapambane mwenyewe

Ulikua unamchunga Dhidi ya Nini na Nini !?
 
Darasa nitaendelea kumpa kama kawaida. Kuwa Malaya/kujiuza mara nyingi umasikini unachangia. Hatakuwa masikini am sure..
Nan kakwambia? Kuna watu ni wafanyakaz maofisin tena wanalipwa vizur ila unakuta nao wanajuuza. Umalaya mda mwingne ni tabia ya mtu tu ila anatumia kivuli cha sababu ya umasikin kujificha
 
Unachangia kwa kiasi fulani lakini kuna wengine malezi yanachangia zaidi sio umasikini. Kuna wengine maisha poa kabisa lakini wanajiuza
 
Nan kakwambia? Kuna watu ni wafanyakaz maofisin tena wanalipwa vizur ila unakuta nao wanajuuza. Umalaya mda mwingne ni tabia ya mtu tu ila anatumia kivuli cha sababu ya umasikin kujificha
Rudia tena kusoma comment yangu, nimesema "mara nyingi", sijamaanisha mara zote. Mimi mtoto wa kike naelewa..ukikosa mahitaji muhimu kupata vishawishi ni rahisi zaidi
 
Back
Top Bottom