Kwako ikoje mdau?Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Duh! Huyo "shemeji" yako itakuwa alifadhaika sana.🤔🤔🤔Mtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..🤣🤣
Mtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..🤣🤣
Yeaah alafu mnajipenda sanaMambo ya exercise yanakuweka fit, ukiwa 40 unaonekana wa 32-35.
Wengine kwa asili yao tu hawana maumbo ya kuzeeka/kuchoka haraka.Ingawa mazoezi na ngawira ni kichocheo zaidi.If you have played your cards well at this age you are financially comfortable.
Binti haelewi namna mama yake anavyopelekwa kwa mparange.....
Yeye anaangalia muonekano tuu kuwa sio type ya mama ....😜.
Well, to senior parents. If you are single.
Try your level best not to show your love relationship to your child until they have their own families if you are still alive.
It’s all about your children without expecting return from them.
Wadada wanaijipenda, hata akigonga 40 unakuta ndo kwanza mbichi