Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.

Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae.

Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona kama mtawezana hiki ni kipengele A cha mtihani. Kipengele B ni kukutana na watoto.

Mara nyingi watoto wa kiume hawana matatizo. Usiombe ukutane na mabinti. Kwanza watakulinganisha na mama yao au baba yao Watataka kujua unafanya kazi gani. Hapa sasa ndipo panakuja swala la U-gold digger. Wanafikiri ulimpenda baba yao au mama yao kwakua ana mali. Kumbe mwenyewe umesharidhika na maisha yako ila ni huyu baba yao au mama yao ndiye anaekuhitaji mno katika maisha yake.
 
Mtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..🤣🤣

Binti haelewi namna mama yake anavyopelekwa kwa mparange.....

Yeye anaangalia muonekano tuu kuwa sio type ya mama ....😜.

Well, to senior parents. If you are single.

Try your level best not to show your love relationship to your child until they have their own families if you are still alive.

It’s all about your children without expecting return from them.
 
Yaani mtoto alikua mbogo huwezi amini ilibidi mama aachane na yule jamaa. 😀
 
Wadada wanaijipenda, hata akigonga 40 unakuta ndo kwanza mbichi

Hivi mkuu kitaalamu, mdada mwenye 40+ anatakiwa awe na mwanaume mwenye umri gani ili asionekane wa ajabu? Maana wanaume wenye above 40 preference zao ni wadada wenye below 30. Mdada akiwa na kijana wa below 35 anaonekana anapenda dogodogo, na kijamii haikubaliki.
 
Back
Top Bottom