Changamoto za kuoa wanawake wawili!

Ndo mi naonaga waume wa wake wengi hufa mapema mno best yangu ni mke mdogo ndoa ya wanne hafu mwanaume hamfikishi Dada anachepuka hatari wengine huwa ni sifa tu.
Ukichangia stress za uchumi plus za mahusiano yanavoumiza watu wengi.
Aisee!, hiyo ni hatari sana, kwa hiyo chain iliyotengenezwa ukitokea ugonjwa unapita na wote.
 
mshauri rafiki yako apunguze na awe anatumia kinga maana hapo hamkomeshi mume wake, akiugua wote wanaenda njia moja.
Sikuhizi watu hawaogopi hyo kitu sasa wake wa NNE labda yule mkubwa ndo katulia the rest sio watu wazima unafikiri wanatuliaje sasa
 
Utakuja kufa .weee mzee " kwani umelazimishwa kuoa wake wawili .. Yaani una wake wawili halafu unasafiri mwezi mzima halafu usitegemee kuchapiwa " thubutuuu labda uhamie mars
 
Mapenzi nayajua sana mleta mada kasema wake zake wanamlalamikia hawaridhi sasa hapo si hawafanyi wafikie orgasm.
Ndo mana nikasema kua kwanza.Kama unadhani ukiolewa kila siku ukifanya mapenzi na mumeo utafika orgasm basi narudia tena kua kwanza angalau ufike umri wa kujua sio kila ngono itashia kwenye orgasm.
 
Hahaaaa mke mmoja huwapa wanaume stress sembuse wa wawili hamna ndoa zenye migogoro ka za wake wengi, mabibi zetu waliweza ila sio kizazi hichi.
Usikisie sana cariha, Labda uwe umeoa sijui magube gube sijui magume gume sijui mnayaitaje wenyewe. Huyo kweli atakupa stress.

Kwa mwanaume anayejielewa na anayeielewa hulka yenu huwa hapati tabu ya kuwa nanyi, awe na mke 1 au 2 au hata 3 hapati shida nanyi ikiwa kama amechagua mke/wake sahihi. Ila kwa changamoto ndogo ndogo za hapa na pale zipo. Hizo hunogesha tu mahusiano.
 
Asante vipi kwa sisi wenye wanne na michepuko unajua changamoto zetu?
 
Hata ukioa mpole matatizo huwa hayakwepeki tu kutofsutiana na stress za mapenzi huwa zipo hazikwepeki tu.

Hamna mwanaume anayeelewa hulka yetu sisi tuna change daily, Mimi mwenyewe mwanamke huwa kuna saa sijielewa kwanini hivi vinakuwa hivi. Mwanaume kutuelewa sie ngumu hisia zote huja na kupotea
 
Ndo mana nikasema kua kwanza.Kama unadhani ukiolewa kila siku ukifanya mapenzi na mumeo utafika orgasm basi narudia tena kua kwanza angalau ufike umri wa kujua sio kila ngono itashia kwenye orgasm.
Ngono isiyoishia orgasm ni ubakaji huo sasa hamna hisia kwanini kufanya?
 
Unajidanganya, hao Wanawake wote 2 wana Wanaume pembeni ila wanakuzuga shauri wanakuhitaji labda, lkn Mwanamke hagawani penzi na Mwanamke mwenzie hata siku moja, ni lazima wana Wanaume pembeni ambao wako in love nao!

cha msingi jamaa anawagegeda hilo la wao kuwa na vidumu pembeni ata ukiwa na mke mmoja bado watu watamgegegda tuu
 
Acha upotoshaji kutokuridhika kwako na mke mmoja ni hyo ni wewe, na usigeneralize kwa wanaume wote.Mimi simo

tatizo lenu mnaogelea exceptions.....hizo zitakuwepo tuu lakini the majority papuchi moja haitoshi. if u the exception sawa. u cant argue kwa kutumia exceptions
 
Watu Waoe Waache Woga

Kama Unafanya Kazi Chakula Kipo Unapanga Uzazi Wa Nini
Wale Wavivu Hata Wakati Mwingine Kuzaa Ni Shida Sana. Sasa Kama Unategemea Mnazi Mmoja Ndiyo Uwaze Kupanga Uzazi
Mkulu Akiwa Simiyu
 
Kuna Nahodha mmoja huko Pangani aliwahi kunipa usia kuwa "Mwanamke jeuri muolee mke mwenzake".
 
Binafsi nina wake wawili na nyumba ndogo zingine nje lkn wote nawamudu kuwakojoza. Vp mm unanitafsiri vipi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…