Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
wewe umeshaoa?Unatakiwa uchelewe ili ujijenge kiuchumi+carrier na kiakili ...mixer ule bata/ujana sana uwagonge sana mpaka ukinai ndo uoe, habari za umetoka chuo tu miaka 2/3 mbele unaoa ni ufala
Yaan umeoa unaanza kuwaza sijui ukachukue masters /PhD sijui ufungue biashara sijui ununue gari/nyumba ....mara unatamani uende club au unatamani kutoka na pisi Kali,hivyo vitu vyooote inabidi uvifanye kabla hujaoa ...ukishaoa unakaa na binti wa watu mnajenga familia
Hapa siwezi mtaja[emoji23][emoji23][emoji23]Nitajie kwa code
Khaa nitumie basi piemuHapa siwezi mtaja[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiamka fungua Telegram[emoji85]
Yawezekana mitazamo inafanana ila Rrondo ana busara,ni mtu mzima kidogo..huwezi mlinganisha na Lizarazu aliye kwenye 20's
Yaani akianza kubwabwaja hadi kichwa kinauma chaa![emoji1787][emoji1787]ana maneno makali mno anayoyaropoka popote.
Duh[emoji16][emoji16] hapo kwenye utoto sasa ndio umemaliza, yule mtoto anaropoka tu chochote wakati huyu mwingine anachagua nini cha kuongea na nini asiongee ila mitazamo yao inafanana niamini mimi.
Pacha shikamoo
Allow me to knowYou never know.
How now! Direct me to the doors.You have my permission. All doors are wide open for you.
While u touch my hand, we open together the doors closed on both sides...You have my permission. All doors are wide open for you.
Ok, waiting....No worries I will come and get you through the door myself.
Indeed, love is beautiful thing once is truly and built on trust.Sounds good
Ok, am always patient, waiting where will this lead me...Patience is the key let's wait and see....I read this somewhere....
Endeleeni jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772]Mkorofi wewe
Mwite Rrondo aje tuendeleeEndeleeni jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772]
Tunaenjoy sana,basi tu ni vile nasoma kimyakimya[emoji1787]
Brother RRONDO [emoji14]Mwite Rrondo aje tuendelee