Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Kwa upande wangu niko honest kwa girlfriend wangu ambaye nategemea kumchumbia na kumuoa.

She knows my situation very well and what to expect and that makes her very supportive.
 
Mwanamke tunu hapewi pesa, anapewa kadi na PIN akajichotee mwenyewe, ajipimie.
 
duh kipato kijulikane kwa wote....anyway tuko tofauti sana.....nitafanya yote yanihusuyo kama baba na kichwa......hilo mtanisamehe......siwezi kwambia kasiba wacha hata kukudanganya........furahia mahaba tuu...
Lakini hakikisha mkeo haiishi maisha ya kujutia hata siku moja..!!
 
Kwa upande wangu niko honest kwa girlfriend wangu ambaye nategemea kumchumbia na kumuoa.

She knows my situation very well and what to expect and that makes her very supportive.
Good for you mkuu, MUNGU akubariki sana kwa hili..!!
 
siku hiz hakuna mambo ya kuoa. the point is panua miguu nikutie mimba unizalie baaaas. thats enough, hii ni karne ya maajab. finito.
 
Duh mkuu kuwa na chembe ya utu kidogo,ndo maneno gani haya!..ni wazi hakuna anayelazimishwa kuoa au kuolewa,heshima pia ni kitu cha bure haijalishi tupo karne ipi.Hapo ungesema kheri usioe ila utakuwa na watoto tu pia ungeeleweka vyema.
siku hiz hakuna mambo ya kuoa. the point is panua miguu nikutie mimba unizalie baaaas. thats enough, hii ni karne ya maajab. finito.
 
Better alivyofungasha. Wanawake wengine waige mfano wa huyo mama wasisubiri mpaka mambo yachache kabisa, mpaka kufikia ya jamaa wa magunia mawili ya mkaa. Kufungasha mapema na kuondoka kwa mwanamke ni ujasili unaoepusha mambo mengi na mara nyingi hali hii uwatesa zaidi wanaume husika kuliko wanawake walioondoka hasa kama wamefunga ndoa, na sababu yenyewe iliyopelekea ugomvi ikawa siyo ya msingi sana bali vurugu vurugu tu.
 
Akina ke ni wachache mno watakuelewa, bahati nzuri kabisa umesema wewe mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…