Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Hello guys,

Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!!

Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii tabia ya ndugu zetu wa kiume kutumia nguvu kubwa mno kutu-impress ladies kwa mitoko ya gharama, zawadi za bei ghali, shoppings za hapa na pale bila kusahau adventures - wenyewe wanaita kutu 'spoil'.

Hell yeah! Tumeumbwa kuwa wapokeaji we can't say 'No' to such offers and, in a meantime, tutawakubali tutakuwa nanyi sababu hiyo ndiyo aina ya maisha mliyotuonyesha na kutuaminisha kuwa we can live that life happily ever after.

Haha, picha linaanza baada ya kuwa mwili mmoja, ukishakubali kuishi kwa shida na raha mpaka pale kifo kitakapowatenganisha, hapo ndo wakati pekee utaujua uhalisia wa maisha ya mwenza wako..!!

Unaanza kuona mwenza wako kabadilika; mbona hakujali kama alivyokuwa anafanya wakati wa uchumba? Kwanini kila unachomuomba anasema hana pesa..!?

Dear ladies, sikatai kweli wapo wanaobadilika ila pia asilimia kubwa ya wanaume wengi wanakuwa wana-fake uhalisia wa kipato chao, hivyo ukija jumlisha na majukumu ya familia za pande zote mbili ni lazima mambo upande wao yawe magumu mno..!

Dear brothers,
Tunapenda sana kuwa spoiled na ninyi, ila tafadhalini sana msiishi nje ya budget wala uwezo wenu, muoneshe mchumba wako uhalisia wa maisha yako kabla hajasema 'Yes I do'. Uwe na uhakika na amani moyoni kuwa amekubali kuwa na wewe kwa hali yoyote ile uliyokuwa nayo, hebu msitunishe misuli mpaka mkachana mashati..!

Na ni muhimu mfahamiane vizuri kabla ya kuishi pamoja. Lazima umjue mwenza wako vyema, is she a good saver? Are you an extremely spender? Do both of you believe in debts? Mna assets gani? Mna mipango gani kwenye maisha yenu na je, budget yenu itakidhi na kuyafikia malengo yenu mkianza kuishi pamoja kama familia? Wewe una mshahara na yeye ana mshahara that's good and okay, lakini ni lazima mliweke hili sawa kabla ya kuishi pamoja. 'Ni changu changu, chako chetu' ama '50 by 50'..!!

Na mliopo kwenye ndoa jitahidini sana kuliweka hili sawa baina yenu, jifunzeni kuwa 'open' and 'honest' kwa wenza wenu linapokuja suala la 'waleti' zenu, ukweli na uwazi wa kipato chenu ndiyo utajaojenga msingi bora wa kuimarisha muhimili wa maendeleo ya familia imara! And don't forget that 'marriage is forever..!!

Utachagua mwenyewe kuishi huru ama kuishi katika 'kifungo huru'..!

''Money is one of the biggest thing couples do always fight about'' - Cary Siegel..!!

Tafakarini hili na mchukue hatua stahiki, Blessed Weekend Dears..!!
Kwa upande wangu niko honest kwa girlfriend wangu ambaye nategemea kumchumbia na kumuoa.

She knows my situation very well and what to expect and that makes her very supportive.
 
Mwanamke tunu hapewi pesa, anapewa kadi na PIN akajichotee mwenyewe, ajipimie.
 
duh kipato kijulikane kwa wote....anyway tuko tofauti sana.....nitafanya yote yanihusuyo kama baba na kichwa......hilo mtanisamehe......siwezi kwambia kasiba wacha hata kukudanganya........furahia mahaba tuu...
Lakini hakikisha mkeo haiishi maisha ya kujutia hata siku moja..!!
 
Kwa upande wangu niko honest kwa girlfriend wangu ambaye nategemea kumchumbia na kumuoa.

She knows my situation very well and what to expect and that makes her very supportive.
Good for you mkuu, MUNGU akubariki sana kwa hili..!!
 
siku hiz hakuna mambo ya kuoa. the point is panua miguu nikutie mimba unizalie baaaas. thats enough, hii ni karne ya maajab. finito.
 
Duh mkuu kuwa na chembe ya utu kidogo,ndo maneno gani haya!..ni wazi hakuna anayelazimishwa kuoa au kuolewa,heshima pia ni kitu cha bure haijalishi tupo karne ipi.Hapo ungesema kheri usioe ila utakuwa na watoto tu pia ungeeleweka vyema.
siku hiz hakuna mambo ya kuoa. the point is panua miguu nikutie mimba unizalie baaaas. thats enough, hii ni karne ya maajab. finito.
 
Jana nlipokua narudi geto ikiwa ni mida ya sa 2 usiku nasikia mtuu analia kwa sauti chumba cha jirani, nika mind my own business, nikapita mpaka kwangu thou mi ni mgeni hapa kwahyo skujua hasa kinachoendelea na ukizingatia walikwepo majirani nje wakiendelea na mishe zao, nkafungulia mziki sauti kubwaaaa(sipendagi kusikia mtu analia) baadaye natoka nje naona watu wamejazana na ilikuwa sa 3 hivi kisa ni ugomvi kati ya mume na mke, chanzo cha ugomvi ni mke kuchukua/kununua vyombo kwa mkopo bila kumtaarifu mume wake.
Jamaa anadai kuwa hizo pesa huyo mwanamke atazitoa wapi coz yeye(mwanaume) hakuwa na budget ya kununu vitu hivyo, Alafu mbaya zaidi jamaa anasema wakiwa wamekaa ghafla inaingia message ya m-pesa kwenye sim ya mke wake. Ugomvi ule ulipelekea mwanadada wa watu kufungasha vyake kurudi nyumbani kwao.

Mwisho wa story
Better alivyofungasha. Wanawake wengine waige mfano wa huyo mama wasisubiri mpaka mambo yachache kabisa, mpaka kufikia ya jamaa wa magunia mawili ya mkaa. Kufungasha mapema na kuondoka kwa mwanamke ni ujasili unaoepusha mambo mengi na mara nyingi hali hii uwatesa zaidi wanaume husika kuliko wanawake walioondoka hasa kama wamefunga ndoa, na sababu yenyewe iliyopelekea ugomvi ikawa siyo ya msingi sana bali vurugu vurugu tu.
 
Nimeipata maana yako vizuri kabisa Son, hapakuwa na mawasiliano mazuri kati ya mume na mke, Kila mmoja anajipangia ratiba zake anavyojiskia yeye kufanya, anayekopa anakopa anayetumia pesa anatumia bila kumjulisha mwenzi wake.!!

Na ndiyo pahala pekee huwa tunakosea sana.!! Ushirikishwaji wa chochote kinachohusu familia ni muhimu sana, lazima mjadiliane kila hatua mtafanya nini, muafikiane litachukua muda gani na budget yake ni ipi..!! Mkishakuwa mwili mmoja kuna masuala lazima myafanye pamoja kama familia.!
Akina ke ni wachache mno watakuelewa, bahati nzuri kabisa umesema wewe mmoja wao.
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom