Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Nadhani tatizo linaanzia kwenye ngazi ya familia, watoto hawapati malezi bora kutoka kwa wazazi wao,
Na ukija shule tunafundishwa gender balance, tukija kwenye jamii tunakutana mwanamke anaweza.!!
Hapa tayari tunawapa wanawake jeuri ya kufahamu they can do anything, na hili automatic linawamaliza wanaume ujasiri wa kusimamia nafasi zao kama wanaume.!!
We umeolewa
 
Mkuu mm nishajifunza kitu kikubwa sana hapo.Na kwakwel umeeleza kitu constructive sana ambacho kina mustakabali wa kujenga au kubomoa maisha ya wawil.
Asikwambie mtu,wanaume tunasemagabtu kwamba aaah hela ya mkeo usiifuatilie lakin huwa tunakereka sana pale tunapweka mizigonyetu mezan halaf nyie mnajifanya kama mnajikuna hiv!!!
C'moon.!
Hivi ni kweli huwa mnaumia?? Mbona wanaume ndo vinara wa kuachisha wake zao kazi ili wawahudumie, na asilimia kubwa mwanaume ndo provider katika familia, suala la 'kukereka' mmeanza linii tena mkuu.!!?
 
NN kiteto kea mbona unajitambuankulikp wanawake wengi waliolelewa au ulichokiendea Embu njoo chemba kwanza nina swali moja tu mm nimechoka
Mkuu..!
Relax kwanza kisha uandike vizuri kwa utulivu.! Mimi niko hapa sijasafiri.!!
 
Mie ndio maana nasema kabla ya kuoa jiuloze upo tayari kulipa ada kodi ya nyumba kumjazia wife mafuta kwenye gari lake na kuwahudumia wakwe.... Kama roho haiwezi acha na ndoa kabisa bakia kama mie mzabzab jigegede tuu.
Upo sahihi kabisa japo umefika mbali sana wengine hata uwezo wa kununua hata gari zetu ni shida.
 
C'moon.!
Hivi ni kweli huwa mnaumia?? Mbona wanaume ndo vinara wa kuachisha wake zao kazi ili wawahudumie, na asilimia kubwa mwanaume ndo provider katika familia, suala la 'kukereka' mmeanza linii tena mkuu.!!?
Hatukereki kwakua tunawahudumia, no.tunakwazika mnaposhindwa kujiongeza hata kwa mambo madogo mafog sana na haki mko na vipato vyenu.
Kesi ya mwanamke kuachishwa kazi ni tofauti cz unakua unajua kabisa am the only source of income so i have to take care if each and everything na hii inatufanya tuwe comfortable cz unajua wife full time yuko around kwa ajil ya ku take care family home (kitu ambacho no more existing)

Sasa ni tifaut na pale unajua kabisa wife anakazi, asbuh unatoka na yy anatoka, home umeajir house girl ku manage house activities lakin mwisho wa siku moaka chumvi mpaka nyanya unataka ninunue mm sasa ww humo ndani una manufaa gani? Huko kutoka kwako daily asbh na kurud usiku kias kwamba hata kuhudumia nyumba na mumeo huna huk muda halaf na hata fedha yako kufanya mambo madogo madogo home pia hakuna...sasa ww unakua na tofauti gan na chokoraa tu ambaye kutwa kuzurura na mizunguko yako sinufaiki nayo kwa chochote..hii mm personally lazima nikereke tu.Jiongeze basi japo ku attend simple issue pale home..ndio maana ya kuwa wawil ndaniya nyumba..kila mmoja anapaswa kuwa msaada kwa mwenzake.

NB:
Nina degree 4 so jichek kabla hujaanza kunikosoa.
 
😂 😂 😂
Eti degree 4, crazy ya!!
Pole, hiyo siyo kukosolewa wala, ni vile nilikuwa nataka kuelewa zaidi..
Shukrani nimekupata sasa, ila naamini wanawake ambao hawalitimizi hilo ni wachache mno kiasi kwamba you can't conclude ni wote wanafanya hilo..!!
Wanawake wengi, wengi sana wanajali familia zao na wengi wanabeba majukumu yao ipasavyo.!!
 
exactly true. ni wachache sana na ndio maana nikachangia maadam umleta maada kwenye jukwaa ili tutoe maoni.
 
Abrogation of marriage altogether is what we need and not these unnecessary sermons. No sooner will marital problems come to an end than when people learn to live independently....
 
Maisha ya sasa Kuviziana ni kwingi sana, vijana wa kiume wanawavizia vijana wa kike na wakike vivyo hivyo, Yaani wanaume waongo wanawake waongo changamoto hii ni kubwa sana.

Mpaka kuna wakati nafikiri kama Taifa at large tujikite kwenye uwekezaji mwingine wa science na technology haya mambo ya mahusiano ni magumu sana ni magumu kama kushinda JACKPOT YA SPORT PESA

Upande mmoja wanaishi sana Maisha ya kwenye movie huku utegemezi ukiwa wa hali ya juu sana mpaka bongo zao zipo kama Omba Omba, Upande mwingine wanataka wanawake wafananao kwenye Movie wanazo angalia

Basi vagaranti, social media, marafiki malezi na Maisha ya Uongo Uongo taasisi hizi za kimahusiano zinazidi kuwa ngumu
Hii ndiyo komenti ya maana kabisa..
 
Usitusemee Mkuu, kama wewe ndio ulimdanganya mchumba wako kwa 70% itoshe kujisema wewe labda na marafiki zako wachache, maana ndege wafanananao huruka pamoja, mimi sijawahi kumdanganya msichana eti anikubali, kwani ninajua madhara ya kuigiza maisha

Nilikuwa natafuta comment kama hii muda mrefu, binafsi siwezi ku fake sababu hasara ni kubwa kuliko faida. Uki fake unaweka precedent ambayo hautaweza kwenda nayo. Ukweli siku zote utakuweka huru
 
Back
Top Bottom