desree
Senior Member
- Nov 8, 2018
- 196
- 370
hata kama ni mmmh...chaguo lako!hata kama ni mfupi....chaguo lako!
Yan hii nyimbo ukiwa ushavurugwa alaf ndo unaisikia utatamani uingie chini ya ardhi tu
Yan hii nyimbo ukiwa ushavurugwa alaf ndo unaisikia utatamani uingie chini ya ardhi tu
Haha..!!
Hizo situation zipo sana, hasa kwa wanaume, wanajifanya huyu dada ni wa kupita tu, mwisho wa siku wanajikuta they've fallen on that trap!!
Inabaki 'hilo ni chaguo lako'..!!