Wateja wengi wa hivyo ni matapeli, ukishamkopesha humuoniKuna jamaa yangu mmoja ana Duka mahali, katika kupiga stori akaniambia biashara ya Uchuuzi ni Changamoto sana kwenye jamii yetu.
Mteja hanunui vitu kwako, anakuja mara mojamoja tena baada ya siku kadhaa!. Mteja Ananunua bidhaa Duka la jirani akikosa bidhaa ndio anakuja dukani kwako.
Mteja kama huyo anaomba umkopesha, unamwambia sikopeshi anakwambia mbona wenzako wanakopesha.
Hiyo ni moja ya Changamoto kwenye biashara ya Uchuuzi almaarufu Maduka ya Rejareja.
ChaiMpaka umalize mzigo....ndo upate faida shs 50 au 100.
Sasa si uweke jinaNinayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock.
1.Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka.
2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani
3. Inaonyesha Kila bidhaa unayouza Ina faida ya sh. ngapi
4. Kama Kuna upotevu wa fedha inaonyesha.
INAFAA KUTUMIA KWENYE SMART PHONE AU COMPUTER
Ili kuitumia unatakiwa kuwa na rekodi sahihi za Kila manunuzi na mauzo ya Kila siku. Nicheki Whatsapp 0753546162