Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 761
- 1,006
Waheshimiwa,
Ninapoishi kuna changamoto mbili za umeme;
1) Umeme unaisha haraka sana tofauti na kawaida
Kwenye nyumba niliyokuwa naishi awali nilikuwa natumia umeme wa 15,000/- tu kwa mwezi,
Wakati ninapoishi sasa, umeme huo nautumia kwa siku 10 tu hali ya kuwa vifaa vyangu ni vilevile na matumizi ni yaleyale
Na sishei umeme na mtu mwingine.
2) Changamoto ya pili, umeme unaonekana kuwa mkali sana kiasi cha kupiga shoti mwilini
Ningeomba kujuzwa ufumbuzi wa changamoto hizi wakuu

- Unapoigusa charger ya simu ikiwa kwenye socket hata kama socket imezimwa.
- Unapocharge PC ukiigusa baadhi ya sehemu.
- Ukiunganisha pasi kwenye socket, ukiigusa tu shoti yake mwilini ni hatari.
- Na kifaa chochote kipitishacho umeme kikiunganishwa na socket tu, ukikigusa mwili hupigwa shoti.