Changamoto ya Madeni

Changamoto ya Madeni

Joined
Sep 21, 2022
Posts
62
Reaction score
62
Habari zenu.

Leo nawaletea Kampuni ya Kukusanya Madeni.

Ni Kampuni iliyosajiriwa Tanzania mwezi March,2020 yenye leseni ya kukusanya madeni na kuendesha minada.

Imewasaidia wafanyabiasha,watu binafsi,na taasisi mbalimbali katika changamoto ya kukusanya Madeni sugu na kawaida.

Kama ni mfanyabiashara madeni yameathiri biashara yako utarudi kwenye biashara yako kama zamani.

Mtu binafsi umeshindwa au kuchoka kufuatilia deni lako, tutahakikisha deni lako linalipwa.

Tunapatikana Arusha.

Tunatoa huduma mikoa yote ya Tanzania bara.

Tupigie +255782396666
Email info@nyakisasaempire.co.tz
 
Branch, Songesha na Mpawa wanaijua hii kampuni.
Mpawa ndio hawasahau Deni lakini branch ni mkopaji friendly.
 
Back
Top Bottom