Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,509
- 7,263
Good shepherd anahusikaje na hapaSoma zaburi 23:1
Maelezo yote yapo apo mtakatifu
Acha tu kakaSeran kakupiga tofali.
Washauri wake ni wengi sana hii vita hutoiweza mwenyewe mchomee ubani achanganyikiweTenaaa jamani ameona haitoshi hii ni dharau kwa wanaume rijali
Nimeona kaka kwa sasa nimeamua nimejenga kibanda nifuge zangu kukuWashauri wake ni wengi sana hii vita hutoiweza mwenyewe mchomee ubani achanganyikiwe
Au mroge tu uwe unamtoa ndani kama fagio la uwanja na kumrudishaNimeona kaka kwa sasa nimeamua nimejenga kibanda nifuge zangu kuku
Ngoja nitafute mganga konkiAu mroge tu uwe unamtoa ndani kama fagio la uwanja na kumrudisha
Nipo nyuma yako
Maelezo
Si kweli ba mtuTenaaa jamani ameona haitoshi hii ni dharau kwa wanaume rijali
Shaitani! Ndiomaana sitakagi mme mwenye virafiki vipumbavu!Washauri wake ni wengi sana hii vita hutoiweza mwenyewe mchomee ubani achanganyikiwe
Wewe sio mtu mzuri kabisa!Au mroge tu uwe unamtoa ndani kama fagio la uwanja na kumrudisha
Nipo nyuma yako
Naanza maombi, nafunga tatu kavu!Ngoja nitafute mganga konki
Unafunga 3 kavu jioni unafungulia k vant kubwa mbili na ndiziNaanza maombi, nafunga tatu kavu!
Kama kawaida!Unafunga 3 kavu jioni unafungulia k vant kubwa mbili na ndizi