jey n
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 227
- 215
Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu.
Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani.
Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.
Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani.
Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.