jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,990
- 4,356
"..natafuta mke lakini sijafanikiwa kumpata ninae mtaka.."
Tatizo lako lipo hapo. Hakuna "mke unayemtaka" kuchagua mke lazima uweke clause ya "compromise" maana hata mwanamke utakayempata kwake hautakuwa mume anayemtaka bali mume anayeweza kuishi naye.
Siku ukibadili hiyo mindset bila shaka utapata mke mwema, in the meantime jitahidi kuja kuwa mume bora.