Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.

Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.

ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala nakitupa tu.
.
Nili jaribu kwenda kwa mtaalamu wa afya ya uzazi, akaishia kuni ambia masuala ya hormone imbalance, sijui sex appetite iko juu hivyo nishushe.

nime fanya hivyo, ila bado kadhia ipo. Je nini chanzo na kuna suluhisho zaidi?

I mean no malice to nobody
View attachment 3586024
Acha kujichukulia sheria mkononi.
 
Unavyolala kunaathiri sana.

Ukilala kifudifudi unazidisha msuguano na presha kwenye eneo la prostate na sehemu za siri.

Hii huwa inatuma signal kwa mfumo wa fahamu kwamba "shughuli imeanza," kumbe ni godoro tu unalimenya.
 
Back
Top Bottom