Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Jibu ni hili hapa.

Sababu
uko kwenye reproductive age.
Semen zinazalishwa kwa wingi.

Ila inaonekana semen hazitoki,
PRoduction iko juu ila matumizi hakuna.

unapolala mwili unarelax, brain inakuwa haina kazi nyingi , inafungua kichupa cha semen na kuzipunguza.

Inavyoonekana una tamani kuzichapa papuchi ila huzichapi.

Sasa rate ya kujirudia rudia ndan ya wiki ni kubwa. Far frm normal.
Ata angekuwa ana mapumbu makubwa kama nguruwe. Asingekuwa ana mwaga namna hii .

Yaan involuntary ubongo uruhusu umwage mara 5 ndan ya siku 7?.
No way.
 
Sperms zinatengenezwa constantly ni normal kutolewa kwa njia ya wet dreams kama mtu hafanyi sex na hafanyi masturbation.

Hii itaisha tuu itafika muda mwili utazoea au akianza kufanya sex.
 
Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.

Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.

ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala nakitupa tu.
.
Nili jaribu kwenda kwa mtaalamu wa afya ya uzazi, akaishia kuni ambia masuala ya hormone imbalance, sijui sex appetite iko juu hivyo nishushe.

nime fanya hivyo, ila bado kadhia ipo. Je nini chanzo na kuna suluhisho zaidi?

I mean no malice to nobody
View attachment 3586024
Dawa ni moja tu hapo.
 
Mkuu unipe kazi ya kukupigia picha hizo boxer, halafu nitakuwa nakutumia mzee?
 
Sperms zinatengenezwa constantly ni normal kutolewa kwa njia ya wet dreams kama mtu hafanyi sex na hafanyi masturbation.

Hii itaisha tuu itafika muda mwili utazoea au akianza kufanya sex.
Nashangaa mwana ana bisha, akati mi ina nitokea hadi jau
 
Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.

Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.

ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala nakitupa tu.
.
Nili jaribu kwenda kwa mtaalamu wa afya ya uzazi, akaishia kuni ambia masuala ya hormone imbalance, sijui sex appetite iko juu hivyo nishushe.

nime fanya hivyo, ila bado kadhia ipo. Je nini chanzo na kuna suluhisho zaidi?

I mean no malice to nobody
View attachment 3586024
TUKIWAAMBIA NYETO INA MADHARA MNALETA UJUAJI ENDELEENI KUNYETUKA.

Nyeto inafungua kabisa lock ya pumbu na uresira.

Sawa na bomba lenye koki legevu

HILO LINASABABISHWA NA NYETO NA ULAJI MBOVU. KAMA NIMEKUFOKEA MCHEKI GENTAMYCINE
 
Jibu ni hili hapa.

Sababu
uko kwenye reproductive age.
Semen zinazalishwa kwa wingi.

Ila inaonekana semen hazitoki,
PRoduction iko juu ila matumizi hakuna.

unapolala mwili unarelax, brain inakuwa haina kazi nyingi , inafungua kichupa cha semen na kuzipunguza.

Inavyoonekana una tamani kuzichapa papuchi ila huzichapi.
Mkuu kuhusu kuzichapa nisije onekana mzinzi, ila zina chapika vyema.
 
Mkuu unipe kazi ya kukupigia picha hizo boxer, halafu nitakuwa nakutumia mzee?
Mm nina penda challenge.

hebu weka mkakati mzur kwenye hili.

Mfano. Ukiwa na Manzi mchana na umemwaga piga picha. Bao 2 .
Alaf usiku vaa boksa piga picha kabla na usiku piga picha ukishtuka umemwaga tena.

Ya kuzingatia. Ujazo uwe ule ule. Siku iwe ile ile. Picha weka na tar. Location unaweza ziba. Nikutajie ile app ya kufanya hivi vyote. Utazima taarifa zako muhimu. Acha tar na muda.

Am on.
 
Sio kwa jf hii ya sasa, unaweza jikuta public jalalani
 
Back
Top Bottom