Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,131
- 12,868
Eh Mungu nifundishe kunyamaza
Pa kuilaza sio shida, tatizo lina endeleaOna sasa....
Ungekuwa una pa kuilaza usingekuwa unahangaika hivi mkuu
Halafu wala sio muumini wa Chaputa gang, imebidi nicheke tuViazi mshaanza kusingizia puchu. Kenge kabisa
WEird ndoto nyevu kua endelevu. Labda kama kuna mtu hua anakusugua daily bila wewe kujua au wewe ni sleepwalkerCha kwanza 10,15 minutes huko, hayo mengine ni msala kidogo lazima ichukue mda.
Sawa mkuu haina noma,vipi we mwanachama huko?Nimesema "kama", CHAPUTA ni chanzo cha hiyo kadhia. 😁
Sawa mkuu haina noma,vipi we mwanachama huko?
Mkuu nalala mwenyewe, halafu usingizi wenyewe muda mchache sana.WEird ndoto nyevu kua endelevu. Labda kama kuna mtu hua anakusugua daily bila wewe kujua au wewe ni sleepwalker
kwenye hili yame nishinda rafikiEh Mungu nifundishe kunyamaza
Kabla hujalala mchakate my wife wakoI swear sio utani mkuu, ninge weka picha ya boxer ka uthibitisho sema itakuwa jau tu.
duh !Tafuta pa kupunguza huo uji! Chupa limejaa
Hii sababu haina mashikoNimesema "kama", CHAPUTA ni chanzo cha hiyo kadhia. 😁
hahahaaaaaí ½í¹Wafungwa wameanza kuvunja gareza.
Sijaoa mkuu, ila kuhusu hilo nita endelea kufanyia kazi.Kabla hujalala mchakate my wife wako
Mkuu sikuhizi nisha acha kujifanya mjuaji, maana ukubwa wa kichwa kwenye tanuru la moto ni hasara tupu.Kweli hilo lilikuwa la kwenda kwa mtaalamu wa afya?
Ina maana hujui kabisa namna ya kutatua?
Wanangu tukazeni tupo pungufu uwanjani.
Tofauti yetu ya kichama haihusiani na afya binafsi mkuu, anyway kataa ndoa linda maisha yako.Changamoto kubwa ya kataa ndoa ni hii,tulio oa tayari tuna kila sababu ya kuoa we endelea tu kukataa ndoa.