Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.

Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.

ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala nakitupa tu.
.
Nili jaribu kwenda kwa mtaalamu wa afya ya uzazi, akaishia kuni ambia masuala ya hormone imbalance, sijui sex appetite iko juu hivyo nishushe.

nime fanya hivyo, ila bado kadhia ipo. Je nini chanzo na kuna suluhisho zaidi?

I mean no malice to nobody
View attachment 3586024
DOGO SHIDA YAKO UNAANGALIA SANA MPIRA MTAMU WA ARSENAL, AMBAO HUKUPA UTAMU ZAIDI YA ULE UPATIKANAO KATIKA MCHEZO WA KUDINYANA, MATOKEO YAKE UKILALA PICHA ZA MAREJEO HUKUJIA NA KUSABABISHA WEWE KUMWAGA SHAHAWA NA KUCHAFUA SHUKA.

KAMA HUAMINI NGOJA MSIMU WA MASHINDANO YA UEFA NA EPL UISHE HALAFU UONE KAMA UTAJIKOJOLEA TENA.

NI HAYO TU DOGO NA MIMI NASANZUKA!!
 
TUKIWAAMBIA NYETO INA MADHARA MNALETA UJUAJI ENDELEENI KUNYETUKA.


Nyeto inafungua kabisa lock ya pumbu na uresira.

Sawa na bomba lenye koki legevu

HILO LINASABABISHWA NA NYETO NA ULAJI MBOVU. KAMA NIMEKUFOKEA MCHEKI GENTAMYCINE
Ili niwakazeni nyuma nyote kwa pamoja au?
 
Back
Top Bottom