Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.

Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.

ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala nakitupa tu.
.
Nili jaribu kwenda kwa mtaalamu wa afya ya uzazi, akaishia kuni ambia masuala ya hormone imbalance, sijui sex appetite iko juu hivyo nishushe.

nime fanya hivyo, ila bado kadhia ipo. Je nini chanzo na kuna suluhisho zaidi?

I mean no malice to nobody
View attachment 3586024
"Sex Appetite " umeishushaje?
 
1. Una ndoa ya gizani
-namanisha umeoa jini kahaba linalokuwa linafanya mapenzi na wewe, mbaya zaidi ni kama linakubaka ndyo maana huwez jua ni sangapi umemwaga
-majini yanaweza kufanya mapenzi na wewe likiwa katika sura ya mwanamke/mme au likiwa limekupoteza fahamu, wewe upo hapo pa kupotezewa fahamu.

2. Unaweza jikuta unazaa watoto majini katika ulimwengu wa majini

3. Hali hyo inaweza pelekea ukawa tasa/mgumba katika maisha yako yote kama hautachukua hatua za kiroho
-nimesema kiroho maana hapo unatumikishwa kiroho na ni mbaya sana.

4. Inawezekana kuna mwanamke/mwanaume ulikuwa naye na mkaachana sasa ameanza kukuchezesha na anaweza kukupa madhara ya kudumu kama hautachukua hatua nilizozitaja hapo namba 3.
NAKAZIA
 
Siku mchana ukinyandua usiku napo hua zinatoka?
Ni ngumu kufanya sex mchana hata mara 2 alaf na usiku umwage involuntary.

Ila mtoa mada nina muamini. Hana sababu ya kudanganya.

Ni tatizo. Na ipo haja tugeukie upande wa kiiman.

so far ushafanya lolote la kiiman?.
Ushaombewa? Ww unasali kabla ya kulala? Unalaa na Quran au Biblia?.
 
Jibu ni hili hapa.

Sababu
uko kwenye reproductive age.
Semen zinazalishwa kwa wingi.

Ila inaonekana semen hazitoki,
PRoduction iko juu ila matumizi hakuna.

unapolala mwili unarelax, brain inakuwa haina kazi nyingi , inafungua kichupa cha semen na kuzipunguza.

Inavyoonekana una tamani kuzichapa papuchi ila huzichapi.
 
Back
Top Bottom