Nickson s masue
New Member
- Jun 28, 2024
- 3
- 1
Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika kupitia no. ya hawapokei na email hawajibu ipi ni alternative solution ya hii changamoto kama kunamtu alisha experience changamoto kama hii na akaweza kuitatua.