Changamoto ya 2021 inayonitesa mpaka leo

Ulikosea kuhama mkoa daslam watu wengi wanamaisha ya kimaskini sana alaf gharama za maisha zko juu
 
Uko Kimara suka kwa nani?
Kwa mauzo ya 30k hadi 50 k kwa siku mbona ni mwanzo mzuri?
Kimara suka mtaa wa amani mkuu, mwanzo ni mzuri ila kwa trend ya biashara sion ongezeko la wateja kulingana na site yangu ki biashara, kulia kwangu na kushoto kwangu kuna maduka kwahiyo najikuta nahudumia mjirani kama Nyumba 5 iv au 6
 
Mkuu wewe unaishi mkoa gani? Kwa mkoa nilio toka mimi hali ya kimaisha ni duni sana ila Chakula ndo kidogo kipo chini ukilinganisha na dar.
Ok we pambana na daslam kama unaona kuna hafadhali kuliko ulipotoka , biashara ikikataa nishtue nikuunganishe kwenye kazi za viwanda unapiga kazi kwanzia j3 Hadi ijumaa alaf ijumaa unalipwa buku 5 yako safi haina kelele, kwa siku buku.
 
Ok we pambana na daslam kama unaona kuna hafadhali kuliko ulipotoka , biashara ikikataa nishtue nikuunganishe kwenye kazi za viwanda unapiga kazi kwanzia j3 Hadi ijumaa alaf ijumaa unalipwa buku 5 yako safi haina kelele
Pamoja mkuu. Ila mbona ujira ni mdogo sana kulipwa elfu tano 5k kila ijumaa au umekosea?
 
Kimara suka labda biashara ndogondogo ila kwa frem napaona pagumu pamepoa sana mm pia niko kimara suka mda mrefu japo huo mtaa siukumbuki nitakutembelea mkuu nikiweza kufika
 
Njoo hapa pana frem moja iko wazi, utapanga, utafanya duka genge.

Ukiweza hata chips unaweka hiyo huduma haipo jirani, asubuhi utauza chai /vitafunwa. Ukikomaa utalala na 50 kupanda juu.

Utalala humo humo kwenye frem maana sasa vijana mmekuwa wajanja wajanja mnakata watu kwa majembe.
 
Ndo pale unakuta mwanaume macho mekunduu kumbe ana mengi magumu moyoni
 
Ok we pambana na daslam kama unaona kuna hafadhali kuliko ulipotoka , biashara ikikataa nishtue nikuunganishe kwenye kazi za viwanda unapiga kazi kwanzia j3 Hadi ijumaa alaf ijumaa unalipwa buku 5 yako safi haina kelele, kwa siku buku.
Hii nchi kweli ngumu,unalamba buku kwa siku!!! Ni kazi ya masaa mangapi hiyo mzee baba
 
Back
Top Bottom