Changamoto ya 2021 inayonitesa mpaka leo

Changamoto ya 2021 inayonitesa mpaka leo

Njoo hapa pana frem moja iko wazi, utapanga, utafanya duka genge.

Ukiweza hata chips unaweka hiyo huduma haipo jirani, asubuhi utauza chai /vitafunwa. Ukikomaa utalala na 50 kupanda juu.

Utalala humo humo kwenye frem maana sasa vijana mmekuwa wajanja wajanja mnakata watu kwa majembe.
Wapi hapo Dada angu? Kodi yake bei gani?

Naomba nikuone PM pls
 
Ndefu Sana hii story nimeshindwa kuimaliza nimeishia kwenye mlinzi kufariki rip
 
Kwa yote uliyopitia inaonyesha wewe ni mpambanaji sana naona mafanikio yako yapo karibu usife moyo endelea kupigana
 
#NISKILIZE MM MKUUU__TAFUTA MTAALAM AKUPIKE KWANZA ILA BILA HIVYO MJINI UTAPAONA PAGUMUUU__MJINI NOW DAYS BILA UCHAWI HUTOBOI MZEEE..!
 
Back
Top Bottom