Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,230
- 5,416
Mtendaji Access aliyonayo ni kwenye makazi ambayo anahusika tu. Mipaka yake ya kiuongozi.Sasa mtendaji akipigiwa simu na napa, Labda mtendaji 1 atakuwa na watu 100 kwenye shehia yake ambao wataomba mkopo hawa wote atawaidhinisha kwenye simu atakayopigiwa? au Mtendaji akiingia jina lake tu inatosha watu wake kutambuliwa kwa wale washaojisajili na kupata ref number??
Jaribu kupitia
View: https://youtu.be/paT8wvOmoDc?si=zxk5lrVUT-jRvRDd
Ili upate uelewa wa jumla kuhusiana na zoezi zima.
Btw, Muda bado upo mpaka Agosti 30.