Kujisajili ni APP ya NAPA DC LIVE. Acha kupoteza muda na USSDNimejaribu kutumia ussd hii *152*00# kujisajiri kwenye anwani za makazi,, imeonesha ombi limepokelewa,, lakin hadi sasa sijapata mrejesho,, ngoja tuone labda baada ya masaa 24 watajibu
Are you serious?Huyu mzazi ambaye mtoto wake amefika chuo kikuu halafu bado anapanga akamatwe.
Kabisa.Huwezi elewa mpaka yakukute @ Sexless
Hasa. Huenda ikawa ni njia ya kupunguza au kukata waombaji.uukiona mifumo ina changamoto nyingi, ndo ujue akufuzae akwambii toka
Kabisa.Kabisa.
Unaweza kuwa na nyumba yako Songea wakati ukiwq Mwanza kikazi au kiutafutaji unapoanga.
Hivi viongozi wakuu wa serikali nao si wanaishi kwenye nyumba za kupanga?
tupe mwongozo mkuu wa kujisajili onlineMbona rahisi na unajieleza vizuri tu.
NaPa hujisajili, bali tayari nyumba zote zimesajiliwa.tupe mwongozo mkuu wa kujisajili online
upo nyuma sana postcode haiitajiki na inajulikana kwa urahis mbona s tunazungumzia NaPa referrence nambaNaPa hujisajili, bali tayari nyumba zote zimesajiliwa.
We jua Mkoa wako, Wilaya yako, Kata, Mtaa kisha Barabara na Namba ya nyumba husika utapata hiyo posta code.
Pia unaweza andika jina la mwenye nyumba utaletewa details zote
Labda wanataka "ujiongeze"Nimeshawapa hadi clip za maelekezo,,, ila kipengele kilichopo wafunguliwe account za NaPA Huko halmashauri
Nilichogundua vijana ni wabishi na hawataki kujifunza. Hutoweza kuwaeleza wakabadilika. Wamejaa malalamiko .Mbona rahisi na unajieleza vizuri tu.
Si kweli kaka, hakuna sehemu unatakiwa kujua taarifa za mmiliki, labda kama ww hukusajiliwa mwanzo mana huu mfumo mara ya kwanza kwetu walipita mwaka 2022,baadhi walisajiliwa mi nlkw shule bado ckuchukuliwa taarifa, kama taarifa zako hazipo kwny mfumo ndo utatakiwa angalau useme namba ya simu/NIDA ya mtu mwngn ambaye mnarelate ambaye mnakaa nyumba moja...NA NI NAMBA YA SIMU TU/NIDA.....binafsi nimeona ni rahisi zaidi kuliko zile 3000 wanazonichukuliaga watendaji wa mtaaSerikali yangu sijui kwa nini huwa inakurupuka sana kwenye upande wa mifumo .
Mfumo wa maombi ya mkopo mwaka juzi ulisumbua sana hadi kupelekea baadhi ya waombaji kukosa mikopo.
Anyway poleni sana japo sijui kama watatatua hiyo changamoto tuendelee kupaza sauti labda
😃😃😃Si kweli kaka, hakuna sehemu unatakiwa kujua taarifa za mmiliki, labda kama ww hukusajiliwa mwanzo mana huu mfumo mara ya kwanza kwetu walipita mwaka 2022,baadhi walisajiliwa mi nlkw shule bado ckuchukuliwa taarifa, kama taarifa zako hazipo kwny mfumo ndo utatakiwa angalau useme namba ya simu/NIDA ya mtu mwngn ambaye mnarelate ambaye mnakaa nyumba moja...NA NI NAMBA YA SIMU TU/NIDA.....binafsi nimeona ni rahisi zaidi kuliko zile 3000 wanazonichukuliaga watendaji wa mtaa
2. Watendaji wa kata na mitaa wanafundishwa kila siku saa 4 asbh, wananchi wanafundishwa kila siku saa 10 jioni, kila siku! Tangia tarehe 14 cjui ile...kila siku jamaa wana hizo sessions!Serikali yangu sijui kwa nini huwa inakurupuka sana kwenye upande wa mifumo .
Mfumo wa maombi ya mkopo mwaka juzi ulisumbua sana hadi kupelekea baadhi ya waombaji kukosa mikopo.
Anyway poleni sana japo sijui kama watatatua hiyo changamoto tuendelee kupaza sauti labda