Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
33
Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo;

1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii imekua kikwanza kwa wazazi wanaoishi kwenye nyumba za kupanga.

2. Watendaji wa Kata hawapo oriented na mfumo huu,, hii imekua kikwazo kwa watendaji, maana wengi wao hawajapatiwa Semina wala warsha kuhusu mfumo huu.

3. Hata nyumba zilizowekewa namba za anwani,, namba hizo haziko active kwenye mfumo.

4. Baadhi ya namba za simu zipo kwenye mfumo wa NaPA zinasoma anwani za watu tofauti na wao,, hata majina ukiomba barua yanakuja ya mtu mwingine.

** Tunaomba changamoto hizi zifanyiwe kazi,, zinatukwamisha kuendelea na uombaji wa Mikopo ya elimu ya juu,, ikiwezekana Postcode zitumike badala ya NaPA.
 
Serikali yangu sijui kwa nini huwa inakurupuka sana kwenye upande wa mifumo .
Mfumo wa maombi ya mkopo mwaka juzi ulisumbua sana hadi kupelekea baadhi ya waombaji kukosa mikopo.

Anyway poleni sana japo sijui kama watatatua hiyo changamoto tuendelee kupaza sauti labda
 
Ni bora watumie postcode na mikoa, wilaya, na mtaa
Mbona mfumo ni mzuri na rahisi kutumia.
Ishu ya msingi ni watendaji wapewe maelekezo ya masaa 2 tu kazi inafanyika.
Nimefanya kazi hii kwa kijana wangu na akamaliza ndani ya siku 3 aka submit maombi ya mkopo bila shida yoyote.
Nilisoma kupitia youtube akaunti ya NaPa.
Nikaenda kwa mtendaji nikampa maelekezo, akasajiliwa. Nikarekebisha taarifa zoezi likaisha.
 
Bahati yako,,,, huku kwingine watendaji hawaelewii wanalalamika tu,,, maana nao wanatakiwa kufunguliwa account,, na anaefungua hizo account za watendaji ni IT wa halmashauri,, au Municipal.
 
Mimi niseme hiyo kazi niliifanya mwenyewe na mtendaji akawa muungwana kujifunza kwani nikamwelekeza nini afanye, niliwasiliana na wadau TCRA wakafungua hiyo akaunti ya mtendaji wa mtaa baada ya kutuma taarifa zake kama email, majina matatu, mtaa, namba za simu.
 
Bahati yako,,,, huku kwingine watendaji hawaelewii wanalalamika tu,,, maana nao wanatakiwa kufunguliwa account,, na anaefungua hizo account za watendaji ni IT wa halmashauri,, au Municipal.
Wape elimu mkuu.
Usiwaache walalamike. Mpe elimu akuhudumie uondoke na ataendelea kuhudumia wengine watakaofuatia.
 
Nimeshawapa hadi clip za maelekezo,,, ila kipengele kilichopo wafunguliwe account za NaPA Huko halmashauri
Halmashauri wanajivuta sana.
Piga simu, wacheki wasap kwa kujitambulisha kama mtendaji wa eneo husika utasikilizwa kwa mfumo huu
Jina:
Mkoa:
Wilaya:
Kata:
Mtaa:
Email:
Phone:
0738938757
0658098809
 
Attachments

  • IMG-20250626-WA0000.jpg
    IMG-20250626-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 26
  • Thanks
Reactions: _ly
Halmashauri wanajivuta sana.
Piga simu, wacheki wasap kwa kujitambulisha kama mtendaji wa eneo husika utasikilizwa kwa mfumo huu
Jina:
Mkoa:
Wilaya:
Kata:
Mtaa:
Email:
Phone:
0738938757
0658098809
Nimejaribu kutumia ussd hii *152*00# kujisajiri kwenye anwani za makazi,, imeonesha ombi limepokelewa,, lakin hadi sasa sijapata mrejesho,, ngoja tuone labda baada ya masaa 24 watajibu
 
Back
Top Bottom