Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,129
- 4,396
Usafiri upi? Kama natembea kwa miguu je? Huko kwingine hakuna changamoto?[emoji28][emoji23] Ila WaTz bhaana thinking capacity ipo chini sana (samahan). Kwahio hapo hujagundua kwanin hawana makato..? Ume calculate gharama za muda wako na gharama za usafiri kutafuta huduma ya hiyo bank..?
Mwenzio naugulia maumivu Arusha! Wamefunga wamesepa!!Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!
Ipo hivi hii bank huwa natumia kusave vipesa navyopata kwa malengo ya muda mrefu kwavile huwa hawana makato ya hapa na pale!
Sasa wiki iliyopita nikawa na shida na pesa yakuzungushia kwenye biashara yangu inabidi niende kuchukua kama milioni 3 hivi mara naambiwa akaunti yangu imeblokiwa kwahiyo siwezi kufanya muamala wowote!
Sema kweli nilichanganyikiwa kutokana nilikuwa nahitaji hiyo pesa haraka sana iwezekanavyo!
Ikabidi niulize kulikoni kufunga account ya mteja bila taarifa yeyote bila sababu za msingi? Nikajibiwa kwamba inabidi nijaze taarifa zangu upya za ki bank!
Kweli nikafanya hivyo na ukizingatia pia nilishajaza taarifa zangu upya miaka miwili tu iliyopita,lkn cha ajabu hadi leo siku ya 8 hawajafungua akaunti yangu ni danadana tu kwa kwenda mbele,nimeenda bank mara mbili mwendo ni kujaza fomu kila kukicha!
Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja wanasema ombi langu wanalishughulikia hadi nimechoka wakuu!
Msaada wakuu nina ninachotakiwa kufanya maana mipango yangu imesimama huku nikiteseka na pesa zangu mwenyewe!
Uzalendo wa nyoko,Huwa najiuliza benki zooooooote za Kizalendo zilizopo mtu anapata wapi ujasiri wa kuweka pesa zake KCB, BOA, FnB nk nk anyway Mkuu ukiamua kununua Gari la Mzungu tegemea kulia kama hivvi acha sie tuendelee na NMB/TOYOTA zetu
We na wewe bank gani hiyo ulienda kufungua account. Jamani muwe munaomba ushauri hata humu ndani.Kwa maneno haya unataka kusema mdau atakuwa amepigwa kwenye mshono? Nayajua maumivu yake.
Hizi bank za kuunga unga toka ile efata iondoke na million nane zangu hunikuti humo, NMB na CRDB japokuwa wana vitozo vya ajabu ajabu lakini bado wanafaa sana kwa sisi wa vipato vya kawaida.
BOra kwa sababu ina wateja wachache? Ukienda Bukombe ama Nkasi utaipata? Inakufaa wewe kwa sababu huenda ni mfanyakazi na tena uko stationary eneo moja la mjini tu ilipoWatu wanaongea tu, bank kama ABSA kwangu ni bank bora kuliko bank zote za ndani ( local ), huduma za jamaa faster sana hadi unafurahi, kwa sie wafanya online transaction na internet bank ndio mwake
Hizi bank za watu maskini ambao mentality yao ni kutunza tu pesa bank. Ila kuna vitu vingi sana bado wanafeli.NMB CRDB NBC hizi ndiyo bank za TANZANIA za uhakika na salama muda wote... Tatizo lenu WaTz mnapenda sana vya bure mnataka muweke pesa bank isikatwe hata shilingi mia, sasa bank itajiendeshaje kama sio kufa na kudhulumu wateja...
FNB haikuwa bank ndogo...Hivi vibenk vidogo huwa naviogopa sana ķuweka visenti vyangu huko!.
Bank bora kwasababu ya huduma.. nazunguka sana na ndio bank nayotumiaBOra kwa sababu ina wateja wachache? Ukienda Bukombe ama Nkasi utaipata? Inakufaa wewe kwa sababu huenda ni mfanyakazi na tena uko stationary eneo moja la mjini tu ilipo
Mimi kwa ishu zangu hizo local bank hazifai hata bure.Kuna watu Huwa mnanishangaza Kwa kweli!! Eti FNB!! Barclay!?boa!?hivi Huwa mna waza nn!? Hivi kwenu singida ukienda utakuta tawi la FNB!??
Hana anachojua huyo...Siku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.
Me natumia KCB the only downsides areHamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.
Changamoto
*Matawi machache Dar yapo matatu tu
*Usumbufu kwenye ATM wawezakuta mashine ipo out of service hapo shida inakuja kulitafuta tawi lingine
*Mawakala wachache
*Menu yao ya mobili money haifanyi kazi.
Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!
Ipo hivi hii bank huwa natumia kusave vipesa navyopata kwa malengo ya muda mrefu kwavile huwa hawana makato ya hapa na pale!
Sasa wiki iliyopita nikawa na shida na pesa yakuzungushia kwenye biashara yangu inabidi niende kuchukua kama milioni 3 hivi mara naambiwa akaunti yangu imeblokiwa kwahiyo siwezi kufanya muamala wowote!
Sema kweli nilichanganyikiwa kutokana nilikuwa nahitaji hiyo pesa haraka sana iwezekanavyo!
Ikabidi niulize kulikoni kufunga account ya mteja bila taarifa yeyote bila sababu za msingi? Nikajibiwa kwamba inabidi nijaze taarifa zangu upya za ki bank!
Kweli nikafanya hivyo na ukizingatia pia nilishajaza taarifa zangu upya miaka miwili tu iliyopita,lkn cha ajabu hadi leo siku ya 8 hawajafungua akaunti yangu ni danadana tu kwa kwenda mbele,nimeenda bank mara mbili mwendo ni kujaza fomu kila kukicha!
Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja wanasema ombi langu wanalishughulikia hadi nimechoka wakuu!
Msaada wakuu nina ninachotakiwa kufanya maana mipango yangu imesimama huku nikiteseka na pesa zangu mwenyewe!
Siku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.
Mambo ya kuulizwa mbona unatoa pesa zote kwenye account huo upumbavu sitamani kuusikia. Local bank ni wapuuzi sijapata kuona.Kwa nin uteseke na pesa Yako.
Muda na gharama za kutafuta huduma c Bora ufungue account bank za ndani.
Sawa SawaNgoja niendelee kupambana nitaleta mrejesho humu
Wapo uhuru heights pia. Ndio HQNalijua tawi moja tu la Mtaa wa Msimbazi Kariakoo
Hayo ya kuwa Iramba mashariki ni matatizo yako.Barclay ,Stanbic and the like ni uchafu tuuu!!? Eti benk Ina tawi Samora avenue tuu!! Na masaki!! Sasa ukiwa iramba masharika inakuwaje!?acha ulimbukeni aisee
Hatuwakatazi kuwa wajuaji lkn mnapopigwa mnakuja kwetu washamba kutafuta huruma maana yake nini?? Punguza ujuaji wakati hujuiUzalendo wa nyoko,
Nna account KCB na kabla ya hapo nilikuwa Equity.
Na ntaongeza account nyingine bancABC...
Benki za Bongo ni usenge tu.
Unafanya POS na bank za kibongo unapigwa exchange kubwa kama vile wewe siyo mtanzania. Yaani kufanya POS tunaona kama ni anasa. *****.
Sisi wabongo tunachojua ni umbea tu.
Haya mambo mengine tuwaachie watu walio serious.
Hata mm psssf wananitesa na pesa zangu mwenywe ushenzi SanaNimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!