Fisadi Mkuu
Member
- Mar 4, 2011
- 72
- 8
kuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwaNakuunga mkono mkuu.
yaan mtu akitofautiana na ww basi katumwa..hiyo ni dalili ya mtu asiyeweza kutetea anachokiamin..kaka jibu hoja kwa hoja na c hojunalipwa nini na mafisadi?unajituma kama vile changudoa aliyeahidiwa ndoa!
naomba nikuulize great thinker..kwahiyo ww unakubali kua cdm ni chama kilichoegemea kwny makbila flan flan coz c makabila ya kijinga?..great thinker huyoookuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwa
Kura za wabunge wote wa CUF Zanzibar ndio sawa na idadi ya kura za mbunge mmoja tu wa CHADEMA John Mnyika, kwahiyo tafuta macrapiest wenzako muweze kujifariji na hoja chovu kama hizi. to hell & rest in peace. :rip::rip::rip::rip:
Nafikiri tusiwe wavivu wa kufikiri. Wewe pitia kwenye web site ya bunge kisha angalia chama gani kina wabunge sehemu zote hapa nchini kisha utajua kuwa chama hicho ni chama chenye sura ya kitaifa.
karibu sana
Mbona hujataja Mkoa wa Mbeya na Iringa?Mikoa yote yenye watu wenye ubongo unaofanya kazi sawa sawa CDM wametesa na hapo vile vile ni baada ya CCM kuiba sana.Whether you like it or not kiama cha CCM hakiko mbali,kwanza hiyo 2015 CCM wasipomsimamisha Magufuli kugombea urais CDM watachukua nchi kiulaini sana maana hakuna mwingine anaeweza kupambana na Slaa.
kuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwa
Jamani tuacheni chadema tumalizie fedha za donors maana deadline ya kuzitumia inakaribia na tusipofanya kazi ya kuzunguka kwa kigezo cha kueneza elimu ya demokasia na ili kupata watu lazima tucheze na akili zao tuweke dowans kama catalyst. Tuzunguke sehemu ambazo watu wanamuamko wa kisiasa na ambazo tutapata mahudhurio ya lutosha kuwadanganya wazungu wanaotoa fedha/kodi za wananchi wao kwaajili ya kueneza demokrasia na haki za binadamu duniani. Katika mizunguko hiyo tutalipana posho na perdiem na vilevile tutakijengea chama umaarufu mbele ya wananchi. Deadline ikipita fedha itabidi zirudi zote na mwisho utaonekena hatufanyi kazi na hivyo next time fungu litapungua.
Nashangaa kuna watu wanopanga wao nani agombee chama gani na hisia za kuua chama kingine ndio kigezo cha maendeleo ya nchi tumeumia. Kwanza aliyekuambia Dr. Magufuli anataka urais ni nani kama siyo kutaka kuchonganisha wana ccm? Aliyekuambia Dr. Slaa atagombea 2015 ni nani kama siyo kutaka kumchonganisha na Mbowe? Dr Slaa alishakiri mwenyewe kuwa hatagombea 2015 kama anfepata urais 2010 ama la.
Sisi tusihangaike na means to justify ends but ends to justify means. Cha msingi hapa ni hela ziishe tupate nyingine.
kuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwa
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
Kwa maana nyingine wapenzi wa chadema humu JF wanaonekana mbumbumbu wa kutojibu hoja na kutokipenda chama chao, wengi huwa tunawaita ni kumbikumbi..tu, viongozi wa chadema lichukueni hili, tushuke kusini -mashariki na pwani, tukavamie ngome ile ya CUF na ccm, kweli kuna haja chama kuwa na sura ya kitaifa kuzidi sasa.
jamani changamoto ni za kuchukua na kufanyia kazi sio kujionyesha kuwa mnaipenda sana CDM ili hali kilichoelezwa ni ukwel...hii nayo akili, eti katumwa ,eti sijui nini ni ufinyu wa mawazo...
mto hoja tutaenda huko LIndi na Mtwara ..stay tuned!
Wewe ni hafifu wa historia kam jina lako, ndiyo maana mambo yasiyopaswa kusumbua kichwa yanakusumbua. hicho chama unachokitete chimbuko lake ni TANU na TANU chimbuko lake TAA na TAA
chimbuko lake nivyama mbali mbali vya kijamii vikiwemo vya kidini (independent churches) sasa unapozungumzia ukanda udini sisi wenye akili zetu hatukuelewe!! kila chama au kikundi chochote kinachoanzishwa duniani hakianziagi kila mahali lazima uwe na target kuwa naanzia hapa naishia pale CDM waliona tuaznie hapo kwa sabau by the time hawakuwa na resource za kuwafikisha kila mahali kwa wakati mmoja. kwa akili yako unafikiri walitakiwa waache shuguli za siasa mpaka watakapokuwa na enough resorces to go everywhere in the country? that is nonsense!! this is a matter of planning resources.
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
Je una tarifa wanawake wa kikatoliki kule Songea wametamka nini?so kwa kuwa cuf ni chama cha kiislamu, chenye ajenda ya kujenga misikiti na kueneza uislamu, na wameahidi kura zao 2010 kwa jk na 2015 kwa ihr, na kwa kuwa ccm na cuf wameowana ndo kusema ccm na cuf navyo ni vyama vya kiislamu.
mawazo ya kipumbavu sana kusema chadema ni chama cha kidini.
mtaujua tu ukweli kwa sababu hata mnapokinyooshea kidole, hamtoi chama mbadala cha kukifuata au kukiunga mkono.