Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
Sidhani kama unaweza mjibu hivyo
Mbona kaka yangu hapatikani kwenye simu?
....Kumbe ningemjibuje?, mimi ningemjibu hivyo!Sidhani kama unaweza mjibu hivyo
Okay
Mwambie basi anitumie hela aliyoniambia jana maana BOOM limekata shemSimu yake ninayo mimi nimeona michepuko mingi inapiga nimeamua niizime tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakutumia baadae shem wangu usijaliMwambie basi anitumie hela aliyoniambia jana maana BOOM limekata shem
Ni kweli, lakini kuna na ile pass ya mbali
Mwanamke anayejielewa huwezi chukua tu namba from no where utegemee utampata... Ukimpata jua umekutana na kahaba!Kuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia.
Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
Ha haMpe hela uone kama atauliza. utaskia. "Samahani una mchumba "
Wala si kahaba na kuopoa juu mzee, amini usiaminiMwanamke anayejielewa huwezi chukua tu namba from no where utegemee utampata... Ukimpata jua umekutana na kahaba!
Jitahidi tu kuongea na mhusika, kukupa namba ndio mwanzo wa kukubaliwa na chance inakuwa kubwa!
Amini nakwambia naongea hili kwa uzoefu.. Madem wa hivyo waangalie kwa jicho la pili, lazima anakuwa na wanaume wengi!Wala si kahaba na kuopoa juu mzee, amini usiamini
Haha! SawaMimi huwa nawambia ulinipa mwenyewe ila utakuwa umesahau ..
Mengine pambania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio changamoto hizo chief
Nakumbuka nilishawai kumwambia demu kuwa nimepata no yako kwenye gazetNdio changamoto hizo chief
Mimi hua najifanya nmekosea kutuma vocha halafu nakausha, akinitafuta ntamwambia bas ndo nilishakosea asijari(tutafahamiana kidogo) na namba ntamwambia naisevu. Kumbe savedKuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia.
Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
Hahaha! Akajibu vipi?Nakumbuka nilishawai kumwambia demu kuwa nimepata no yako kwenye gazet
Sent using Jamii Forums mobile app