PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Haha! Huenda ikawa unachokisema, ila bila hata ya kutuma hela unaweza weka mambo sawa na yakaendaMpe hela uone kama atauliza. utaskia. "Samahani una mchumba "
Kuuliza kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke.. Muda mwingine inatokea tu umeibahatisha sehemu(hapa wanaume tunafahamu)Ukitaka kuepuka hilo swali muombe no mwenyewe...hamna kitu nisichopenda kama kuzungushana hata wewe ikija namba ngeni lazima uulize ww nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa OFA NA VODACOMKuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia.
Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
Duh!Nimepewa OFA NA VODACOM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepewa OFA NA VODACOM
Vipi shemeji kwema huko?
Kuuliza kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke.. Muda mwingine inatokea tu umeibahatisha sehemu(hapa wanaume tunafahamu)
Mbona kaka yangu hapatikani kwenye simu?
Kuna naongea na nani? na namba yangu umeipata wapi??Sasa kama umeulizwa hivyo si useme namba umetoa wapi akuelewe...mimi ukinitafuta namba ambayo siifahamu nitakuuliza ww nani ukishindwa kusema hapohapo nakublock haijalishi wewe mwanaume au mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani atakuelewa??Mwambie umeipata badoo