Kwanza ningependa kujua ni biashara gani.
maaana hapo imani za dini nazo zinaingia kati.
Kuna kipindi watu wa Bia walihwai kutoa hii wakaingia kwenye conflict na wahusika.Sasa kama mie Muislam ukaniwekea Tangazo la bia au Condoms hapo issue.
Weka wazi kaka Biashara gani itahusika katika gari langu
Kama wewe ni mmiliki wa gari hii ni fursa yako ya kujitengenezea kipato cha ziada. Tutakulipa kama utakubali tupambe gari lako kwa sticker za tangazo la bidhaa zetu.
Utapata tsh 100000 kila baada ya miezi mi3 na tsh laki moja ya bonus baada ya miezi 6
Nafasi tano tu wahi sasa, ukiridhika na offer hii nitumie sms 0712494761
Tukiweka sticker unapewa ya miezi 3 hapohapo then ikiisha unakuja tena baada ya miezi 6 unapewa bonus 100000 kama sticker bado itakuwepo