Changamkia Dili hili la uwakala

mbona mimi nimenunua antena yenu bwanaaa...???
 
Tatizo watanzania tuna mawazo mgando! Mwenzetu kaleta dili tulichangamkie kama tunaona inafaa watu wanaanza kulipuka na kasoro kibao! Kama hutaki kaa kimya wenzako wata changamkia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Agree. One hass to be positive sio kila kitu unapinga/kudharau
 


Kweli kabisa startimes mnanifanya nifikirie mmewahonga TCRA.
ili mfanye biashara kwa kutuibia vijisent vyetu kwa kutuachia majanga.
inaudhi sana pale unapokuwa unahitaji sana uone habari fulani alafu unakuta eti picha ina stak.


 
Ushauri:
1) matangazo yenu yako kama nchi nzima itakosa access, kumbe ni kama mikoa mi 5 tu. Watu wametoka Shy, Kibondo only to be informed nyie bado sana!
2) ofisi yenu ya TBCcm pale Bamaga haina watu wa customer care! Ukifika kuna 'vipolisi' kama unataka kuuliza vinakutoa nje.
3) ITV wasipokuwepo decorders zenu hazina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…