Changamka ufanye uamuzi sahihi katika hizi nafasi

adataro

Member
Aug 15, 2012
36
0
Hello ndugu mwanajamii!
Napenda kukujulisha kuwa unaweza kufanikiwa kimaisha kwa namna nyingi. Maisha kawaida ni kama mchezo wa kamari na ndiyo maana wengi husema maisha hayana formula. Kwa asilimia kubwa watu wanazoea maisha ya mtiririko fulani tu na hiyo hutokana na maisha aliyoyakuta katika jamii yake. Unaweza ukawa umezoea kupitia mlango wa upande wa kushoto kutoka nje japokuwa kuna mlango mwingine wa upande wa kulia nao upo tu hautumiki lakini nao unaweza kuutumia na ukafika nje mapema zaidi.
Sitaki nikuchoshe ilikuwa ni namna tu ya kutaka kufikisha ujumbe kuwa maisha huwa yanabadilika sana kuendana na sisi wenyewe. Nataka nikuulize:

  1. Kipato ulicho nacho kinatosha?
  2. Ulishawahi kufikiria kufanya biashara?
  3. Je unafikiri ni kwa namna gani unaweza kupata mtaji mkubwa ukashindwa?
  4. Je wewe una mtaji mdogo lakini unafikiria ni kwa namna gani uutumie ukuzalishie ukashindwa?
  5. Je unao uwezo wa kuanza biashara lakini unaogopa changamoto mbalimbali na hujajua ni ipi itafaa?
Nataka uondoe shaka na kuhusiana na changamoto zozote na utue mzigo wa mawazo ya namna ya kufanikiwa ikiwa tu una mtaji mdogo sana unaweza kuutumia ukafanikiwa(utajiri).

Kwa kuweza kuwasiliana na kuweza kupata maelekezo muhimu ni kuwa tupo DSM, Namba ya simu 0776808986. Barua pepe ni healthwealthfirst@gmail.com
Hili tangazo ni kwa wale waliopo DAR-ES-SALAAM tu
 
mtoa mada mbona kama unafichaficha hvi, kitu kama kiko real na unakiamini basi kiweke wazi kila mtu aone uweze kupata watu wengi... yani nyie watu wa hizo biashara sijui kwa nini huwa mnapenda kujiogopa wenyewe??? jiamini bwana bizness iz bisness haitaki aibu.. sema wazi bwana acha kujiogopa maana utawatisha hata wale ambao wangekuja.. nakushauri ahe kujiogopa kama wenzako tulowaona hapa na matangazo yao ya marketing
 
Hello ndugu mwanajamii!
Napenda kukujulisha kuwa unaweza kufanikiwa kimaisha kwa namna nyingi. Maisha kawaida ni kama mchezo wa kamari na ndiyo maana wengi husema maisha hayana formula. Kwa asilimia kubwa watu wanazoea maisha ya mtiririko fulani tu na hiyo hutokana na maisha aliyoyakuta katika jamii yake. Unaweza ukawa umezoea kupitia mlango wa upande wa kushoto kutoka nje japokuwa kuna mlango mwingine wa upande wa kulia nao upo tu hautumiki lakini nao unaweza kuutumia na ukafika nje mapema zaidi.
Sitaki nikuchoshe ilikuwa ni namna tu ya kutaka kufikisha ujumbe kuwa maisha huwa yanabadilika sana kuendana na sisi wenyewe. Nataka nikuulize:

  1. Kipato ulicho nacho kinatosha?
  2. Ulishawahi kufikiria kufanya biashara?
  3. Je unafikiri ni kwa namna gani unaweza kupata mtaji mkubwa ukashindwa?
  4. Je wewe una mtaji mdogo lakini unafikiria ni kwa namna gani uutumie ukuzalishie ukashindwa?
  5. Je unao uwezo wa kuanza biashara lakini unaogopa changamoto mbalimbali na hujajua ni ipi itafaa?
Nataka uondoe shaka na kuhusiana na changamoto zozote na utue mzigo wa mawazo ya namna ya kufanikiwa ikiwa tu una mtaji mdogo sana unaweza kuutumia ukafanikiwa(utajiri).

Kwa kuweza kuwasiliana na kuweza kupata maelekezo muhimu ni kuwa tupo DSM, Namba ya simu 0776808986. Barua pepe ni healthwealthfirst@gmail.com
Hili tangazo ni kwa wale waliopo DAR-ES-SALAAM tu

umeshamaliza kusaidia ukoo wako? Charity bgn at hom
 
Forever Living a.ka GNLD
Wengi wamekuwa ma wazo la biashara na wanafikiri biashara ni Forever Living na GNLD tu. Mimi nazungumzia biashara tofauti na hizo. wale tuliokwishaonana na wamenufaika sana. Mwenye mawazo ya GNLD na akashindwa kuchukua hatua basi hatuwezi kumfuata nyumbani na kumshika mkono. Wengi hukosa fursa kutokana na kupuuzia wasichokijua. Fursa ni ya kwako.
 
Back
Top Bottom