Sijui lengo la vyandarua hivi vya JK ni nini zaidi ya
kutukinga na malaria,....
Naona kama vina punguza nguvu za kiume ingawa kwenye
tangazo lao wana kana kata kata.
Toka nimeanza kutumia mambo si shwari,leo mwisho .
Kuna mwenye experience navyo huko?
hahahahaha! vyandarua vina sumu? sasa ebu achakutumia halafu utulete report kamili Kaka duh kama kweli tushaumia.....
Mkuu, Naomba Uendelee Kuzitumia kwa uaminifu zaidi ili uwe sample kama kuna matatizo au hakuna.
duhhh..
kwa hiyo either way kuna matatizo tu ...
kipandee hii kuna malaria kipande ile kuna uwezekano wakukosa wajukuu..
pole sana..
vyandarua vipya vimemtoa busha jirani yangu
Tanzania hatuna hata mtaalamu mmoja wala uwezo wa kupima PLUTONIUM RAYS, na wasiwasi na vyandalua hihi eti msaada wa bure , jamani mbona hatuchunguzi kabla hadi yatufike. ooooo nilisahau kumbe hapa kwetu TZ ni dambpo la kutupia misaada kam hiyo. ANGALIENI sana