Chancellor Merkel ziarani nchini Kenya

Petiro

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
309
45
Katika ziara hiyo ya siku moja amepangiwa kukutana na Rais Kibaki na PM Odinga.wanatarajiwa kuzungumzia mradi wa ujenzi wa
Bandari mpya ya Lamu, Ujenzi wa reli toka Lamu-South Ethiopia to South Sudan na ujenzi wa bomba la mafuta toka South Sudan to Lamu
Imedokezwa miradi hiyo mitatu itapata ufadhili toka Ujerumani na itauimarisha UCHUMI wa Kenya.

JE PRESIDAA WETU ANAJIFUNZA NINI TOKA KWA MAJIRANI ZETU KENYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wenzetu wamekuwa tayari kutumia fursa ya uhuru wa sudan ya kusini kunufaika kisiasa,sijui Jk Yeye alipokwenda aliongelea lolote kwa manufaa yetu? I believe hata sisi tukiwa wajanja twaweza kujipatia fursa ya kiuchumi...NAWAONEA WIVU WA KENYA,Kwa kweli wako so aggressive when it comes to opportunities...hata namna wanavyodili na masuala ya ufisadi wako so transparent na level ya accountability iko juu sana kwao...
 
Hii ni massive investment kwa Kenya. Viongozi wetu Tanzania changamkeni,South Sudan!
 
Hii ni massive investment kwa Kenya. Viongozi wetu Tanzania changamkeni,South Sudan!

Priority ya viongozi wetu kwanza posho kule Bungeni na Kuwabana wapinzani kila kona kutumia polisi .Investors wanaogopa Tanzania sababu ya 10% hii iko clear na JK anaijua lakini hawezi kufanya lolote ndiyo maana wakija hapa ku invest wana amua hata kutuua maana walipata nafasi kwa jasho sana .
 
Mimi nadoubt na hawa wa kwetu ss tunaoportunity kubwa zaidi ila tunabakia KUPIGA DOMO. Mfano reli ya TARAZA is not fully utilized tunasingizia oooh tujenge upya reli ya kati . Pia tunamezungukwa na landlocked countries Burundi,Rwanda,Malawi,Uganda etc ila tumekua ZOBA ZOBA. Huenda sisi ni wale tulioambia WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA - Hosea 4:6
 
Economic Inteligence ndio inayotamalaki duniani hivi sasa,wanaojua kuitumia kama wenzetu wakenya watatuacha mbali sana na hilo halina mjadala.Sie Tanzania tumekalia tu military inteligence ya kuwalinda viongozi wetu ilihali uchumi unaporwa,fursa za maendeleo hazitumiki na zinatumika kwa wengine,south sudan ilikuwa ni fursa nzuri kuitumia,lakini viongozi wetu wamebaki kushangaa na kwenda kupiga picha tu na Rais sava kiir,shame on them!
 
merkel.jpg

President Mwai Kibaki (R) welcomes the German Chancellor Angela Merkel at State House, Nairobi during her official visit to Kenya
 
Wenzetu wamekuwa tayari kutumia fursa ya uhuru wa sudan ya kusini kunufaika kisiasa,sijui Jk Yeye alipokwenda aliongelea lolote kwa manufaa yetu? I believe hata sisi tukiwa wajanja twaweza kujipatia fursa ya kiuchumi...NAWAONEA WIVU WA KENYA,Kwa kweli wako so aggressive when it comes to opportunities...hata namna wanavyodili na masuala ya ufisadi wako so transparent na level ya accountability iko juu sana kwao...

Mbona South Sudan iko mbali sana .....Sisi opportunity zetu zipo nyingi tu lakini tumelala. Western part kuna Zaire, Rwanda , Burundi & Uganda na South Kuna Zambia & Malawi. Kwa south tunaacha reli ya TAZARA ife na kuwafanya Malawi na Zambia watumie zaidi bandari za South Afrika.

Hizo nchi za western ...tena ukiritimba wa bandarini, ubovu wa reli unawafanya wafikirie kutumia Kenya zaidi kwa nchi za Burundi, Rwanda na Uganda. Nadhani tungekuwa serious Kenya wala wasingefurukuta.
 
Economic Inteligence ndio inayotamalaki duniani hivi sasa,wanaojua kuitumia kama wenzetu wakenya watatuacha mbali sana na hilo halina mjadala.Sie Tanzania tumekalia tu military inteligence ya kuwalinda viongozi wetu ilihali uchumi unaporwa,fursa za maendeleo hazitumiki na zinatumika kwa wengine,south sudan ilikuwa ni fursa nzuri kuitumia,lakini viongozi wetu wamebaki kushangaa na kwenda kupiga picha tu na Rais sava kiir,shame on them!

m1.jpg

Mbona South Sudan iko mbali sana .....
South Sudan has potential to provide oil at competitive price to East Africa countries ,Indeed its time we actively sourced our fuel supply from SS instead of halfway across the world.
 
Hicho kibibi kijanja kweli kweli.Hata wiki tangu taifa la South Sudan litangaze keshafika kutangaza misaada.Ameona awawahi waroho wenzake wa Marekani na Ufaransa kama vile alivyofanya Hillary Clinton kuwawahi wachina wasije wakanunua mitambo ya Dowans.
Akili zao zote ziko kujilimbikizia mali na kuitawala dunia.Wakenya na watanzania wamebaki kupigana vijembe nani ni bora kuliko mwenzake nani atawakubali wakoloni mwanzo kuliko mwenzake.Miaka yote hiyo ya uhuru hamuwezi jambo angalau moja,hata kufikiri mpaka aje Angela.
Hamna loloote! zaidi ya akili mgando.
 
Back
Top Bottom