Bahati yao mechi haijachezwa Taifa Leo tungetembeza bakora kuanzia Malinzi mpaka wachezaji wake, pumbavu zao hawa, siwapendi mno nyau
Naunga mkono hoja kwa asilimia zote, malinzi anaua soccer aliloachiwa na TengaKuna haja ya kuanzisha kampeni ya kumuondoa Malinzi,hakuna alichofanya toka aingie madarakani
Kwa kweli tunasikitisha.
Dakika ya 42 Tanzania 0 - 1 uganda
Kwani stars hawajatupia uzi mpya?
Lile goli uzembe wa Dida kabisa
Kuna haja ya kuanzisha kampeni ya kumuondoa Malinzi,hakuna alichofanya toka aingie madarakani
Katusaidia kupata uzi mpya!
kushabikia Stars ni sawa na kuweka bondi nyumba yako
Alafu wakati mwingine tuache ujinga, wote tunaangalia mpira, goali hili ni DIDA amefungisha, golikipa gani unafungwa goli rahisi kabisa, badala ya kudaka mpira, yeye anatanguliza miguu na kugonga mpira. HOVYOO KABISAAA.