CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Refa TAFADHALI maliza mpira hii aibu itakua kubwa duh 3-0 hii sasa sifa.
 
Wachezaji wamemgomea kocha ili asepeshwe
 
Malinzi pia ana mpango wa kubadili jina la Taifa Stars...
 
Unaweza kutukana ovyo usiku mzima huu,toka lini forward akawa na miguu mitefu kama mbuni
 
Kocha yuleyuele, wachezaji walewale, mbinu zilezile, viongozi wa tiftif walewale...halafu utegemee matokeo tofauti?! Labda Mungu atende miujiza!!
 
Tutashinda tukichukua jopo la kocha Mkwasa, Kibaden, Julio etc
 
Sjui kitu gani kimenifanya nifungue huu uzi muda huu najichukia sana,sijui usingizi kama utapatikana
 
Kazi yao kupiga mashabiki tu pale wanapozomewa
 
mpira mbovu sana,wachezaji wetu vimeo.
Au malinzi anahujumiwa?
 
Last edited by a moderator:
Hili ndicho alichokitaka Malinzi huyu Kocha ilibidi kuondoka toka baada ya COSAFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…