Champions League kuonekana Startime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Champions League kuonekana Startime

Discussion in 'Sports' started by Ngongo, Feb 15, 2011.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimekutana na wadau wa mpira wamenihabarisha leo na kesho king'amuzi cha startime wataonyesha ligi ya mabingwa Ulaya.Wenye king'amuzi msipate taabu tupieni macho KBC mtaone mechi bila chenga.

  Mashemeji zangu msikubali kamba wala visingizio toka kwa minjemba yenu kwamba naenda kuangalia mechi bar wakatalieni kabisa.
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  acha unoko wewe
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  unoko wake ni nini? haikuonyeshwa
   
Loading...