Chambilecho Fidel Castro, "Mhukumuni Bashiru, historia itamwachia huru."

Kwanini kama Bashiru anayaamini aliyoyapigania asijiuzuru au kuanzisha chama chake, madhubuti cha siasa?

Anachokisimamia hasa Bashiru ni nini? Mali za CCM tu?

Hiiiiii bagosha!
Kwa nini usihame wewe unayeona bashiru mbaya , achane majungu yenu ya CHADEMA nyie
 
Ngoja kwanza, ni mzalendo wa chama chake au taifa lake?.

Watu mnaiongelea Tanzania ya leo kama Tanzania ya 1980s Tanzania ya mfumo wa chama kimoja hii si sawa.

Dr. Bashiru aligeuka kasuku muoga, mnafiki na mtu mwenye uchu wa madaraka. Hii ipo wazi mf. alisema mwenyewe hatakubali teuzi nyingine ila akasaliti kauli yake.

Huu ni uchu wa madaraka, tamaa na kutokutosheka.

Alafu kuwa mjamaa sio kuwa mzalendo haipo hivyo.
 
Tena ni mtu hatari sn hafai hata kidogo
 
Wajamaa afrika walishakufa wewe. Siku hizi siasa ni ajira inalipa sana, na ina maslahi sana. Kwa muda mfupi tu atakuwa kavuta mpunga kuliko wakat wote.

Angekuwa mjamaa angekataa ubunge wa bure arudi akafundishe aandike vitabu
Sure thing.
 
Huyo bashiru hata ungemuosha kwa maji toka
Maji ya chemichemi ya ZamZam
hasafishiki
Ni mchumia tumbo tu Kama wengine

Halafu mtindo wa kuwaita Wazalendo wanasiasa wa Karne ya 21 sio uzwazwa tu bali ni ukichaa uliopitiliza!
 
Back
Top Bottom