mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,788
Kuna watu wamenunaa.
Hatofautiani na Feisal TotoChama ni mchezaji wa mechi ndogo ambazo hazina pressure
Anakufananisha na mashabiki lopolopo...kuna mashabiki lopolopo yasiyo kuwa na simile na wachezaji wao kama wao ni malaika hawafanyagi makosa...hakuna haja ya kumponda mchezaji aliekusadia takribani vipindi vi 3 mfululizo...Sijawahi kumuita chama mzee labda sio Mimi