Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha...